Friday, April 1, 2011

MAFUNZO KATI YA MAMA NA MTOTO WA KIKE....


kwa wazazi wenzangu wenye watoto wa kike hebu naomba tufundishane hili jambo, mtoto wako anapofikia umri wa kukuwa, yaani anapoanza hedhi kipindi hiki ndipo anapoanza kuwa na matamanio ya mwili na kuona mavutio ya mwanaume...

ukiwa kama mzazi utaanzaje kumfunza mtoto wako kupigana na matamanio, ama hata kama atakuwa na mwanaume ni nini cha kufanya kipindi hichi bado anakuwa maana tukisema utamkataza asiwe na mwanaume tutakuwa tunadanganyana kwasababu atakuwa naye tu kwa siri...

Reactions:

0 comments:

Post a Comment