Thursday, September 16, 2010

HII NI KWANYIE MLIO TEMWA KISA MMEMUONA JAMAA KAPENDEZA NA ANA PESA MNAJIFANYA MNATAKA KURUDI INAHUSU?

mambo mpenzi, hope we mzima.... jamani naomba uweke hii kwenye blog yako labda inaweza kuelimisha wanawake wenzangu,hii ni kwa wanawake ambao wanatizama mali kwanza, mwanaume akiwa hana kitu kwanza wanajidai kumkataa wakishaona kapata na ana mwanamke mwingine wanaanza chokochoko wakimtaka tena. wanawake wenye hiyo tabia mkomee, sasa hivi ndo mnamuona wa maana, maneno hayaishi kuchwa kutwa, msg zenu za upuuzi kujidai ooh nimeachana na jamaa yangu sa hivi nipo nipo tu ningepeda kampani yako, looh hauna haya wewe, ameshapata zaidi yako wewe utaishia na vi msg vyako tu kumpata humpati, gold digger mkubwa, si bure hampati waume wa ndoa kila siku kudandia huyu na yule. komeni na mabwana za watu.
its me tum tum

4 comments:

  1. wameisomaaaaaaaaaa, nyoo wakosa haya, wanawake kueni na dignity,kupata mume kwataka staha.

    ReplyDelete
  2. Wape wape. Wanabaki ooh kuolewa sijataka tu. Kwani kuolewa mmeona dili. Kama si dili wame za watu mwawatakia nini? Mwanamke kuolewa bwana. Ukijashtuka umegota 35 ukinyegeka unahaha kutafuta wa kungonoka nae. Mara wame za watu, mara serengeti boys, mara dildo. Mtajibeba mwaka huu. Maana na sisi wenye mali tumeshtuka tuko makini hatutoi nafasi tunabana kwelikweli. Alloo!

    ReplyDelete
  3. Tum Tum mbona una jazba hivyo shost yashakukuta nini?lakini habari yao wameipata tayari tena na mimi naongezea mkome tena mkomae mwanamke anejiamini anatafuta wa kwake sio kumganda wa mwenzie kwakeli haihuuuuuuuuuu, mkome mi siku nikimkuta mtu na wa kwangu lazima nimyoe nywele na chupa

    ReplyDelete
  4. @BQ
    sio siri kweli yamenikuta besti, but hawapewi nafasi kamwe, watabakia wakihaha lakini hawampati ng'o, wanabaki kutukodela mimacho, wanasononeka kwa raha zetu na kuhuzunika kwa majamboz yetu, imekula kwao hiyo, ahhh lazima uwaonyeshe hutaki mchezo, washenzi wakubwa wasio kua na maana!!!
    tum tum

    ReplyDelete