Monday, June 14, 2010

RED WINE JAMANI......

tunajuwa yakwamba madaktari wanashauri sana kunywa red wine kwani ni kinga ya magonjwa mengi, na licha ya hiyo wengi huamini red wine ukipewa kama zawadi ni kwamba umethaminiwa na kupendwa sana lakini inakuwaje unapokunywa red wine halafu ikuletee madhara..

kuna dada mmoja yeye anasema akinywa red wine nyonga inabana sana na kuwa na maumivu, mimi sijui ni kwanini labda wewe ndugu yangu unajuwa sababu yake na vipi kumsaidia huyu dada?

1 comments:

  1. rosemarymizizi sikusema nyongo inabana hapana umekosea kidogo nimesema dawa ya nyongo nini maana nyongo imenijaa sana na kinywaji ninachopendelea kutumia ni red wine wandugu wapendwa naombeni mwenye kujua dawa ya nyongo aniambie ni hayo tu

    ReplyDelete