hivi chozi la mwanaume umaanisha nini? ni kweli akilitoa humaanisha ama nikiunganishi tu ili kuonewa huruma?
hivi kwa mfano mwanaume unapofumaniwa na mkeo halafu katika kuomba msamaha unatoa chozi please tell me thats just a game to be felt sorry for...... kwasababu sielewi inamaana gani uanze kujikuta unalia what for?
na ndio maana nataka kujuwa nini maana ya chozi la mwanaume? na mwanaume akilia humaanisha nini?
0 comments:
Post a Comment