ni vibaya kutokufanya mapenzi mpaka baada ya ndoa? kuna msichana nimekutana naye kwenye sherehe moja huyu dada yeye katika maongezi tukagundua ya kwamba hajawahi kufanya mapenzi kabisa yani bado alikuwa mzimaaaaa hajamegwa hata kidunchu.......
kwasababu siku hizi ni wachache sana utawakuta bado wamejitunza tukamuuliza unawezaje kujitunza namna hiyo na ni matatizo gani anayokumbana nayo, na marafiki zake wanamchukuliaje kwani alisema ya kwamba marafiki zanke wote ni wazoefu katika maswala ya kufanya mapenzi.........
akasema marafiki zake humuona haendi na wakati, maana wakikaa katika kupiga story wale wanaongelea jinsi walivyo fanya mapenzi na style zote wanaanza kuhadithiana, yeye hukaa kimya kwa sababu hana la kuongelea...........
pia mara nyengine humwambia labda atakapoamua kuwa na mpenzi akatafute walokole amabao husubiri mpaka ndoa ndio wafanye mapenzi lakini akijaribu kuchukuliwa na mtu ambaye hajaokoka lazima huyo mwanaume atamuacha kwani hataweza kuvumilia kutokufanya mapenzi.............
na wengine wanamwambia kwani uaogopa kutenda dhambi? tokea umezaliwa umefanya madhambi mangapi sembuse hili moja tu?
na mara nyengine humshawishi kwamba usipofanya mapenzi utajuwaje ukipata mchumba wa kukuoa kama anakufikisha ama akufikishi ili ufahamu afadhali tu ujaribu..
wewe mwenzangu unamshauri je?
ni mtizamo lakini sio vizuri umri kuwa mkuubwa sana bila kuonjwaa, kuna wakati inabidi kitu kiingie tu. maana wakati mwingine inahitajika uzoefu
ReplyDeletemtu ambaye hajawahi fanya aweza kutoka nje ya ndoa ili aone kuna nini hukoo japo yule aliyekwisha onjwa ana uzoefu na hivyo hadanganyiki, ni mtizamo
Achana nao ndugu yangu tunza bikira yako hadi mwisho. kwanza unapunguza mengi, moja ukimwi na magonjwa sugu ya kuambukizwa kama kaswende na kisononon.k. wadada wengi wameishanyofolewa vizazi na wengine hawatazaa shauri ya kupigwa huko chini na wengine sio wasichana maana wamezeeka hata kuliko watu wenye umri mkubwa shauri la kubadilisha hao majibaba. Jitunze mdogo wangu haya mambo hayaishi. kufanya ngono hakukuongezei chochote. tulia upate wa kwako.
ReplyDeletesafi sana na hongera sana...kamwe usiwasikilize hao wanaokuona mshamba....... jitunze wakati ukifika utampata wa kwako na utayafanya sana hayo mapenzi, kumbuka Mungu hamtupi mja wake hata siku moja.
Deletemwambie aendelee na msimamo kama huo, tena atakayekuoa atafurahi. wanaume wengi wanapenda wanawake waaminifu na hiyo ni njia ya uaminifu.
ReplyDeleteKuonjwa ni nuksi na tabia chafu; nachukia mwanamke yeyote mzinzi tena nikikujua na urafiki unaisha.
kwa nini utoe K yako kwa watu tofauti tofauti? Inauma sana uwe umeolewa au hujaolewa, ni mbaya sana.
mimi kwa mtizamo wanhu aendelee hivyo wangapi wanaonjwa na kuolewa hawaolewi jitunze mimi nakusaport na ukiingia ndani si kama hutaweza kumfikisha eti tija expirience kwenye hilo shoga mambo yanakuja yenyewe wala asikuchuze mtu wengi wanaonjwa na hawaolewi mwishowe wanaitwa majamvi ya wageni kaza uzihuo huo anaekupenda kweli atakusubiri
ReplyDelete