fungus ni ugonjwa ambao umeshawakumba watu wengi sana lakini pia watu wengi sana huzania fungus ni ugonjwa tu wakawaida kama kuumwa kichwa, na fungus husababishwa na nini haswa? na tiba yake ni nini?
je ni kweli kama powder ni dawa ya fungus na je katika hizo powder ni za aina yeyote ama kuna maalum ya hizo fungus?
ndugu zangu kwa anayejuwa zaidi hili swala la fungus tafadhali tufahamishe kwani wengi hupatwa na hili janga.
Ni kweli fungus ni tatizo kubwa sana kwa baadhi ya watu kutokana na mwili wa mtu mwingine utakuta ziko katikati ya vidole na sehemu ya kuzunguka mguu na kama ulivyoonyesha kwenye picha hapo juu. kuna dawa moja ni nzuri sana na wengi huwa inawaponyesha inaitwa mycota iko ya powder na cream ebu mnaosumbuliwa jaribu hiyo kama haikusaidii basi fuata ushauri wa daktari
ReplyDeletedawa nzuri ambayo imenisaidia na baadhi ya wengine niwajuao ni kuchanganya mafuta aina tatu ambayo ni olive oil, almond oil na habasouda oil pamoja ktk chupa na kupakaa eneo lenye fungus.haijalishi ni wapi hata sehemu za siri pia, nawa miguu na maji nyenye chumvi, kausha vizuri pakaa utaona matokeo yake. na pia mchanganyikop huu kwa wale wanaotaka kuwa na nywele ndefu wapakae ktk ngozi ya kichwa ama wa mix ktk mafuta yao ya nywele wataona matokeo. hazikatiki hata kidogo
ReplyDelete