Tuesday, June 29, 2010

COMMENTS...

NARUDIA TENA HILI SWALA LA COMMENTS KWA WADAU WANGU WOTE WA HII BLOG NAWAPENDA NA KUWATHAMINI SANA LAKINI COMMENTS AMBAZO WENGINE MNAZITUMA ZA KUTUKANANA SITAWEZA KUZIWEKA HUMU.. NA HATA KAMA WENGINE MKIENDELEA KUNG'ANGA'NIA NA KUNISEMA KWA NINI SIZIWEKI KAMA DIRECTOR WA HII BLOG SITAZIWEKA HAPA NI SEHEMU YA KUFUNZANA NA KUSIFIANA LAKINI SIO KUONYESHANA UBABE KAMA MNATAKA UBABE MFWATE HUYO MTU UMFANYIE HUKO...
NADHANI NIMEELEWEKA, NA WEWE NADHANI UTAKUWA UMENIELEWA..

1 comments:

  1. Rose!
    Ninaungana na wewe kwa asilia zote katika kupiga vita tabiaisiyo ya kistaarabu ya kutoa maoni tukano na dhalili katika blog hii.
    Ni jambo la kufedhehesha sana kwa mtu ambaye ninaamini ni mzima mwenye akili yake kuketi chini na kusumbua ubongo wake adhimu kuandika mambo yasiyo stahili. Na pia ninapata shida sana kuamini kwamba bado katika dunia yetu hii ya leo kuna watu ambao bado ustaarabu haujazaliwa kwao.
    Nitumie nafasi hii kukupongeza kwa ujariri wako na ubunifu katikablog hii na pia kukemea kile ninachokiona mimi kama ugonjwa wa akili walionao baadhi yetu hasa wale wanatoa maoni dhalili.

    ReplyDelete