Friday, May 21, 2010

USAFI WA MWIKO NA SUFURIA........










tumehsauriwa ya kwamba tupunguze ukali wa maneno katika kuandika na kutoa ushauri katika blog kwasababu inawezekana watu chini ya umri(18) kuangalia blog hii halafu haitakuwa vizuri wakutane na maneno mazito..

sasa basi tuelekee kwenye point, uoshaji wa sufuria na mwiko, jamani ni muhimu sana kuosha miili yetu pindi tunapomaliza shughuli zetu zile..........

kuna siku tulitoka kwenda club moja hivi maarufu sana na ndio kwanza mpya kabisa katika jiji hili la Dar es Salaam, tukaketi katika viti tukicheza pamoja na marafiki wengine, mara akaingia mdada mmoja alikuwa pamoja na mpenzi wake kwa style walizokuwa wanakumbatiana na kucheza mtu yeyote angejua wale walikuwa ni wapenzi.

cha kusikitisha ni kwamba yule mwanamke alikuwa ananuka chini jamani yani kama nichakula sufuria yake ilipikia basi lile sufuria chakula kiliungua, jamani wananawake hata kama ni mrembo kiasi gani utakaposhindwa kuosha sufuria yako vizuri basi hata huo urembo wako unakuwa hauna maana.

na nyie wananaume pia sio umemaliza kusonga chakula kwenye sufuria halafu unavaa tu unaondoka hata hausubiri vile vinavyoshuka baadae uvifute... haipendezi mkaka wa maana umependeza halafu kumbe unanuka shombo ya mbegu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tujifunze kujiosha jamani hatakama ikitokea mara moja iwe bahati mbaya, labda sehemu uliyokuwepo maji ya kutosha hamna, lakini usafi wa sufuria ni muhimu sana.

2 comments:

  1. hahahaaaa du hapo umeronga kuna watu wachafu kweli wakitok katika shughuli hiyo hawanawi then wakipanda daladala harufu unaissikia kwa kweli kichefuchefu wajirekebishe

    ReplyDelete
  2. me napenda uhalisia zaidi, onyesha sufuria za kawaida kabisa na mwiko wake, vitu ambavyo mimi na wewe tunatumia na si asilimia 5 tu ya wabongo wanauwezo wa kumudu kuvipata.

    ReplyDelete