Wednesday, May 19, 2010

KUVAA SHANGA...


watu huvaa shanga kwa maana nyingi naamini, hivi shanga zina maana ngapi? najua maana za nyekundu, nyeusi na nyeupe je nihizo tu ama na rangi nyengine pia zinamaana tofauti? na wanaume hupendelea nini kwenye shanga? na wanawake waova je hujisikiaje kuwa nazo..

kuna wakati nilikuwa navaa shanga kwenye kiuno sio kwamba nilipenda ila mpenzi wangu kipindi hicho ndio alikuwa anapenda nivae akisema anapoziona anasisimuka lakini baada ya kuachana naye nikaachana nazo kwakuwa sikuwa nazipenda kuvaa bali kumridhisha tu..

kitu cha kushangaza ni kwamba kuna rafiki yangu anaolewa karibuni mchumba wake amemletea shanga avae, anasema yeye anapenda kumuona mpenzi wake akiwa amevaa ndipo nilipo mshauri azivae baada ya kumpa story yangu hapo juu..

wanaume kuna raha gani ambayo mnaipata pindi wapenzi wenu wanapo vaa shanga????na je ni wanaume wa makibala fulani ama wote kwa ujumla? maana rafiki yangu huyo mchumba wake mkuria na ndicho kilicho zidi nishangaza...na mwanaume aliyenifanya mimi nivae ni mmakonde ndio inazidi kunichanganya..

sio vibaya nikufahamishana tu ili tujuwe kama tutaendelea kuzivaa ama tuziweke kapuni.....

Reactions:

31 comments:

 1. for wat i knw.. kuna baadhi ya wanaume hawapendi hata kizisikia na kuziona.. lakini kunawengine ndo tobaa utadhani bila hizo ndo hawata survive!!! ila wengi wao wanasema inakuwa inaleta flavor tofauti katika wakati wa tendo la ndoa... na pia wengi wanao vaa inawasaidia kukata mauno kwa ufasaha zaidi... pia wanaume wengine wanasema kama mwanamke hajui kukata viuno wanashauri bora asivae maana ni aibu !!

  ReplyDelete
 2. Ila zikiwa nyingi kiasi hicho ni uchafu bila shaka. FK

  ReplyDelete
 3. duh. shanga zina raha yake kwa anayeweza kuzitumia. nahisi msisimko mwili mzima ninapoziona. nakumbuka siku ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Siku ileeee ulipofirwa?

   Delete
 4. AKITAKA JUA LAHA YA SHANGA ATAFUTE BINTI WA KITANGA TENA ALIEKULIA KWA BIBI NA MAFUNZO YA SHANGA KAYAPATA HAPO ATAJUA RAHA YA SHANGA SHANGA ZINA RAHA YAKE ILA HUWEZI SIMULIA KAMA ILIVYO RAHA YA SIGARA

  ReplyDelete
 5. nimekutumia email dada,naomba tuwasiliane kwenye webmaster@afroit.com

  ReplyDelete
 6. Eti jamani shanga na chen yakiuno vinaraha tofauti?

  ReplyDelete
 7. Angalizo,
  Wengine wanafuata mkumbo, lakini siri ya shanga ni dawa tu. Zinatengenewa na midawa hiyo ukilala nae utadhani hakuna mwanamke kama yeye. Haswa hizo za Tanga n.k wabibi wengi wanajua hilo na zilikuwa ndo siri za unyagoni wakati huo. Angalia wanga wote wanaotunguliwa viuno vyao vimejaa shanga hizohizo. Kazi kwenu mnaoshabilia msioyajua.

  ReplyDelete
 8. dada blog yako ni nzuri inaelimisha vilivo ni kweli kabisa shanga inachangia kwa kias kikubwa kuamusha isiya wanao pinga bado wachanga kwa mapenzi wao kwa mapenzi il mladi wamemaliza hamu yao kwani hawazingatii kumridhisha mwanzi wake

  ReplyDelete
 9. Mhhh! ila shanga nadhani sinamsisimua mwili mwanamke na kumpa ashki, na vile vile kama mimi nikiziona na zikiwa zimekamata kiuno kisawa sawa huwa nasindisha mara2, na hata wakati mwingine naongeza kitombo.
  Izoo hapa.

  ReplyDelete
 10. Mhhh! ila shanga nadhani sinamsisimua mwili mwanamke na kumpa ashki, na vile vile kama mimi nikiziona na zikiwa zimekamata kiuno kisawa sawa huwa nadindisha mara2, na hata wakati mwingine naongeza kitombo. Shanga zina raha yake bwana
  Izoo hapa.

  October 29, 2011 2:34 PM

  ReplyDelete
 11. Nakupongeza kwa blog yako nzuri.
  Ukweli ni kuwa watu wengi wanajali sana masomo, kazi na biashara na hawajali kuhusu mahusiano na hasa ya chumbani, ndoa nyingi zina matatizo kwa vile watu hawapendi kujifunza. Endelea kutupa elimu ya tendo la ndoa kwani ndiyo sababu hasa ya ndoa

  ReplyDelete
 12. Mimi bado nina utata juu ya matumizi ya shanga ktk kuhondomola, kuna watu wanatoa maoni na kutuacha hewani. watueleze vizuri kazi yake nin nini

  ReplyDelete
 13. MIE NAZIFURAHIA SANA NINAPO ZICHEZE NIWAPO KWANYE SITA KWA SITA

  ReplyDelete
 14. Kama ni shanga basi iwe moja tu...Au kama uwezo upo chain ni bora zaidi.

  ReplyDelete
 15. kwa ujumla shanga naweza kusema ni kama urembo unao valiwa kwa ndani ambao humfanya mwanaume kusisimka azionapo zikiwa zimevaliwa ndani kwakuwa yeye huchukulia kama kiashiria cha tendo lenye kusisimua la ngono. pia hutumika kumtekenya mwanamke zinaposhikwa na mume ktk mahaba.

  ReplyDelete
 16. Jee naomba msaada kama ulivyosema hapo juu kuwa kila rangi ya shanga ina maana yake unaweza kunielezea please..

  ReplyDelete
  Replies
  1. naomba nikusaidie kujiba swali lako rangi za shanga zina maana mfano nyekundu inamaanisha siku zako za kutumika nyeusi mavuzi na na nyeupe ni ute unaotoka ukeni kwa mwanamke

   Delete
 17. kuna post nbiliandika jamani kuhusu rangi za shanga tafadhali pitia tena kwenye blog hii utaiona.

  ReplyDelete
 18. Katika mazungumzo ya kawaida, washikaji zangu wengi wameonyesha kupenda sana wapenzi wao kuvaa shanga, ila zisiwe nyingi kama mnyororo wa kuvutia gari lililoharibika. Binafsi niweke wazi kuwa, sijawahi kuona faida yake kwangu, labla kwa mwanamke mwenyewe, na hata ikitokea nimekutana na mwanamke kavaa shanga, sitoshughulika nazo kwa vile sifahamu natakiwa nizifanye vipi ili, labda zinifurahishe mimi au mwanamke.

  ReplyDelete
 19. Shanga ni chachandu katika kutombana ni sawa kula pilau na kuweka chachandu juu. Shanga zinachangia kula ngoma vizuri.Unapotomba mwanamke mwenya shanga unajisikia hasa kwani unauingiza uboo hadi kinena kinagusa shanga na zinazidisha mdadi.Kiuno cha mwanamke asiyevaa shanga kinakuwa kama kiuno cha mwanmme. brezhnev62@gmail.com

  ReplyDelete
 20. Shanga ni pale unapokuwa unatachi tachi kabla mtu wako hajavua. Zinasauti flani hivi inachanganya

  ReplyDelete
 21. me sijaelewa bado naona mnajiumauma tu wote hakuna anaeelezea jinsi ya kuzitumia ninapokutana na mwanamke mwenye shanga, wala anayeelekeza nizitumieje ili nisikie huo uhondo unaosemwa niondokane na imani kuwa wanaovaa shanga wanahusisha ushirikina?

  ReplyDelete
 22. raha za shanga umpate mwanume enae jua kucheza nayo shanga aswaaa mchezo hutopenda uishe Shanga tam asikwambie mtu

  ReplyDelete
 23. jamani shanga zina matumizi yake tena kuntu.
  1) wavaa kiunoni km pambo la mwanamke.
  2)pia mwanaume anayejua matumizi ya shanga akiona zilivyojipanga kiunoni lazima mboo isimame atake asitake
  3)vile vile mwaume hupitisha mikono yake kwa ustadi wa hali ya juu ktk kiuno cha mwamke kilichopambwa kwa shanga na kukupa ashki ya mapenzi.
  4) shanga waivisha kwenye mboo na kucheza nayo huku bwana mkubwa akipiga mayowe ya raha kwa jinsi unavyocheza na ile shanga.
  hivyo shanga ina raha yake kwa mwenye kujua thamani yake jamani

  ReplyDelete
 24. Kwa sisi waafrika shanga ndio utaaduni wetu,hizo cheni za kuvaa viunoni ni utamaduni wa kimagharibi ila wamekopi Afrika,kwa iyo inapendeza kwa mtoto wa kike kuvaa shanga awapo na mwenza wake,shanga kwa upande wangu mimi ni kiashiria kizuri cha kuwasiliana na mwenza wako,mana ukizivaa shanga mbele yake maana yake wewe unamwambia habibti wako kama nataka mchezo,sio lazima ulalame kwa kufunua mdomo wako,dume likiona shanga tu lazima atasimamisha kama mwanmme rijali haswaaaaaaaaaa.mimi kama mimi nazipenda kuzivaa nikiwa na mume wangu.

  ReplyDelete
 25. Aka mie singasinga bwana! ,nisiyenyoa nywele yeyote ya mwili sasa shanga si itajiviringa kwenye Buji (mavuzi) wakati tunangonoana.Hapo sasa badala ya starehe si ntaanza kulia wakati huo demu atakuwa anazungusha kiuno kwa kasi zaidi akifikiri kuwa amenifikisha ndio maana nalia kwa utamu anaonipa kumbe mavuzi yanang'ofolewa na shanga ndio maana nalia.

  ReplyDelete
 26. dada achana na huyo bilisi tafuta mwingine

  ReplyDelete
 27. nachukia wanawake wanao vaa shanga masaa 24,siku7 za wk na zinaonekana ovyo ni uchafu.Nikizikuta nashuhurika nazo nisipo zikuta sioni shida nashughurika kivingine.

  ReplyDelete