Now lets talk about night dresses..
naamini ya kwamba muda wa kulala ni mda wa kupumzika na hutaki kulala ukiwa umevaa suit yako ya kazi ama umevaa jeans.. ndio maana wakati wa kulala watu huwa tunapenda kuvaa nguo ambazo zitatufanya tusisikie joto, nguo ambazo hazitatubana sana nguo ambazo hupendeza mwili wakati wa usiku.
wanawake tulio na waume ndani hatutaki kulala tukiwa tumefunga kanga ama vitenge ama kulala umevaa bukta, vaa kitu chepesi chenye mvuto ambacho hata mwenzi wako atakapokuwa amelala pembeni yako basi asitake kuamka alale apumzike kabisa tu atakapo kukumbatia usiku ukiwa mwepesi sio kumkwaruza na pindo za jeans ama kanga kufunguka wakati anakuvuta pembeni yake..
wanawake tunaweza kufanya kila usiku uwe kama usiku wa kwanza na mwenza wako..

ungeweka na picha yako unapokua na night dress itapendeza zaidi dada
ReplyDeleteAnony hapo juu unakosea. Yeye anatoa dokezo tu huenda mwenzako akilala havai kitu kabisa sas unataka aweke picha yake ya utupu?.
ReplyDeleteIla mimi katika hili naona pia mwanamke anaweza kuvaa hiyo nguo ya kulalia usiku laki ni kama si msafi ni mwehu tu anaweza kukukumbatia usiku kucha vinginevyo hadi kunakucha jamaa hajakugusa.
Usafi pia ni jambo la muhimu hata ukifunga kanga nyeopesi mithili ya mtandio na ukawa safi hakika mtu hakumbuki kuchelewa Bar au katika mazungumzo ya biashara.
Alamsiki FK!
FK,
ReplyDeletehilo pia jambo.
ahsante
hilo lakini kuna wanume wengine hawapendi wake zao walale na nguo yeyote ile .. sasa inakuwaje?
ReplyDelete