Monday, May 24, 2010

MAPENZI BAFUNI........


kwawale wenye uwezo wa kujenga ama kupanga nyumba ni vyema ukizingatia kufanya hivyo ukahakikisha chumba chako cha kulala kuna bafu, na vizuri kamalitakuwa la beseni kama lilivyo hapo juu lakini kwa wasioweza kuwa nayo basi sio vibaya ukipata hela umpeleke mpenzi wako mkalale japo siku moja kwenye hoteli najua kwa uzoefu hoteli nyingi za sasa zinahayo mabafu.

sio wakati wote mapenzi yafanywe kitandani jamani, uzuri mbadilishe, kama kitandani, jikoni, sebleni, kwenye gari mapenzi ni kitu cha ubunifu sio sehemu moja tu wa kuchezea (mimi huuita mchezo wa upendo).

kuna wanaume wengine wasiopenda mambo ya ubunifu kama huu wakati wanawake wengi hupendelea mambo kama haya, basi wewe baba, kaka, mjomba jitahidi kumridhisha mpenzi wako ni mambo madogo lakini mzuri ambayo humchanganya mwanamke.

bafuni ndio sehemu yangu niipendayo kuliko zote, pakiwa pamezimwa taa na kuwashwa mishumaa ya upendo yenye manukato, na melody kwa mbali sio ufungulie mziki mkuubwa ukaharibu yale mapenzi yanayozunguka kati yenu, mkiwa na wine pembeni..

maji ndani ya beseni yanaweza yakawa ya uvuguvugu ili kufanya mwili kurelax, ukaweka na sabuni ya maji yenye kutoa mapovu isiwe na harufu ili isichanganyike na harufu ya mishumaha ili harufu zisije kuharibu wakati..

mda huo ukiutumia kumvutampenzi wako kwa karibu ukimpapasa mwili wake na kumsifia jinsi alivyoumbika, hata kama hana mwili uupendao lakini msifu kwani huyo ndio mpenzi wako, na wakati huo hutakiwi kufikiria chochote cha zaidi bali ni huyo tu uliyekuwa naye mbele yako..

wakati mziki wa mapenzi ukipiga taratibu acha miili yenu iongee yenyewe mkiwa mmekumbatiana kwa upendo na upendo huo uendelee mpaka mtakapotosheka....

Reactions:

2 comments:

  1. haswaa watu wengi huogopa kubuni style tofauti kuhofia kuulizwa na wenza wao amejulia wapi? I LUV THIS KEEP IT UP. Shangazi with lovely friend

    ReplyDelete
  2. Sista inaonesha una ujuzi mwingi ila nakuomba uweke mambo mengi wazi, kama vile kuanza kusuguana kisimi, kunyinyana mboo, na kukaa stly kama chuma mboga, ili mradi wote tunaosoma humu ni wakubwa na tunajua kila kitu kinachoendelea. Its me Izoo wa Dodoma.

    ReplyDelete