kabla ya yote nitaandika hii mada kwasababu ya uzoefu lakini sio kwamba nilichoandika hapa kinaweza kutekelezeka kwa kila mtu, kwani tunajua ya kwamba ngozi zinatofautiana kama imefanya kazi kwangu sio lazima na wewe ikukubali kwahiyo ukiwa unajaribu na ukiona tofauti hamna basi juwa labda dawa hiyo sio ya ngozi yako..
marafiki zangu wengi sana walikuwa wananiuliza inakuwa vipi ngozi yangu kuwa nyepesi na yenye mvuto bila chunusi, ama mabaka ya chunusi, kwani wengi wao chunusi ndio tabu kubwa sana kwao, nilikuwa na hofu kubwa sana ya kuwaambia dawa lakini leo nikawaambia nitaitoa humu ili wapate wote kuelewa na mwenye kujaribu haya shauri yao matumaini yangu ni kwamba tu ngozi zao pia ziwe nzuri..
hamna kitu ninacho kiogopa mimi kama kupaka cream za ngozi kwani nyingi ndio chanzo za hizo chunusi na mabaka, na nyengine nyingi huchubua ngozi. naona mpaka aibu kuandika lakini ngoja tu niandike, jamani hamna scrub nzuri ya ngozi kama shahawa najua kila mtu anayesoma atasikia kinyaa lakini ukweli ndio huo..
na shahawa sio ya kila mtu leo upake ya Paul, kesho John an wengineo hapana, inafaa ya mtu mmoja kama umeolewa basi ya mume wako tu ama kama una boyfriend basi ni ya huyo mmoja tu ndio upake kwani scrub hiyo hufanywa kila mwezi ili ngozi yako izidi kupendeza inataka kupokea virutubisho vya sehemu moja tu sio kwa watu tofauti..
ni ngumu sana kuanza kwa mara ya kwanza lakini baada ya muda unajikuta umezoea na utashangaa jinsi ngozi inavyo pendeza.. kwa miaka zaidi ya minne nimeona tiba yake...
na kwaushauri scrub hii ni vizuri ifanywe siku ambayo unajua hutoki kabisa nyumbani, kwani hutatakiwa kupaka kitu chochote usoni siku hiyo..
nikiasi kidogo tu cha shahawa huitajika, kutumia vidole unaipaka sehemu mbalimbali za uso ikiwa imeenea vizuri unaiacha kama dakika tatu mpaka tano, halafu taratibu sugua uso wako uhakikishe yote imetoka kwa msuguo huo, baada ya hapo bila sabuni osha uso wako kwa maji ya uvuguvugu, ukaushe vizuri halafu uuache bila kupaka kitu chochote usoni siku hiyo.
hii ni point tu kati ya dawa za ngozi ya asili ambayo nimeona mafanikio yake, simshauri mtu yeyote kwa nguvu atumie, ila tu kwa wale ambao wanaweza kutumia za waume ama mabwana zao haya, na kumbuka inaweza ikakupenda ama isikupende...

dada hasante sana kwakutuelimisha kuhusu dawa ya inayofanya ngozi nyororo kidogo sijakuelewa vizuri hiyo shahawa inatakiwa ipakwe mara ngapi kwa mwezi? na wakati wa kupaka unasugua na toulo au mikono? na je shahawa hiyo ya mwanamke mwenyewe mwenyetatizo hilo aifai atumie shahawa zake mwenyewe ni lazima ziwe shaha za kutoka kwa mwaume?
ReplyDeleteINATAKIWA IPAKWE MARA NGAPI KWA SIKU AU WIKI?
ReplyDeleteinatakiwa kupakwa mara moja kwa wiki mbili kama unavyofanya scrub ya kawaida ya uso.
ReplyDeletena kwawnamme je! 2fanyeje?
ReplyDeletehio shahawa inapatikana vipi?
ReplyDelete