Thursday, May 27, 2010

COMMENTS........

hii blog ilianzishwa kuwekana sawa na sio kutukanana, kwahiyo mnaotuma comments kutaka kuwatukana watu haipendezi na wala hatuhitaji... nimeitoa blog hii kwa watu wanayetaka kuisoma wenye kupenda maendeleo sasa kama wewe shida yako kuichambua lipi zuri lipi baya unakazi... hapa mwendo wa kuelimishana tu na kwa lolote ambalo linahusu maisha ndani ya nyumba tutaliweka hapa liwe baya ama zuri.....
kwahiyo comments zenu mnazotuma za matusi hapa hazina nafasi...

2 comments:

  1. Hao wote wanotumia blog hii vibaya wana lao jambo kama mtu anataka kumpaka(kumchamba) amfuate kwa mda wake sio kwa kutumia blog, huo wote ni wivu.kama mengi ya kuchoma nyamaza

    ReplyDelete
  2. DADA ROSE MIMI NAITWA GRACE NAOMBA NIJUE FACE BOOK YAKO EMAIL ILI NIWE NAKUULIZA MASWALLI MBALIMBALI MAANA NAIPENDA SITE YAKO YA WANAWAKE

    ReplyDelete