Monday, August 4, 2014

MWANAMKE UNAANZAJE SASA KUKOSA HIKI KIBAO KATA...

  Chezea mswahili miye aka somowakwanzawakichagga, baada ya kuwaletea masomo wenzangu waswahili wenzangu wakutoka, magomeni,temeke na tandale sasa nakuletea mama yao hahahaha mwanamke wa mwananyamala matashtiti yake utayajua siku hiyo..hahaha kantangazeeee
Mwanamke kibao kata, mwanamke kufundwa, tarehe 31/8 usikose lipia dera lako mapema, ukaikate nyonga na wana kibaokata, na bila kusahau tukajitangazeeeee na msaga sumu ndio yuleyule aliyekuwepo kwenye movie ya kigodoro kantangaze atakuwepo nasi siku hiyo kutupa raha na nyimbo zake...hhehe heiya sio ya kukosa hii bibi wewe na mashoga zako kwa group ya watu sita kuendelea dera na ticket moja ya bure itapatikana kwenu.kwakulipia piga number hiyo hapo
na pia unaweza mfwata somo wako kwatika instagram mama Rosemary Mizizi aka somowakwanzawakichagga katika account yake ya instagram ya @somowakwanzawakichagga ukapata chachandu zake na masomoyake kabla ya siku hiyo.
Mwanamke maujuzi bwana, mwanamke ukaujue mwili wako na kujua kuuchezesha, hahahaha haloooo mwanamke nyonga...

1 comments:

  1. jmn mi mvulan umr wang ni 23 yrs nnatatizi la kutopata raha ya sex coz nachelewq sana kumwaga kias kwamb gals wanaishia kusema wamechk... nft gal yeyote kuanzia 18 had 45 yrs anayewez kudum ktk tendo kwa mda mref ht km unataka hela ntakup ilimrad ni enjoy donabdallah95@gmail.com

    ReplyDelete