Friday, July 25, 2014

LIVE bila chenga

Wapendwa kwa muda sasa nimekua nikiulizwa kuhusu videos za mambo mbalimbali ya kufunda na kufundisha wakati bado najipanga kutoa videos zangu kamili tukutane instagram @somowakwanzawakichagga pale utaona clips pia ninavyofundisha na shughuli zozote zitakazofanyika. haswa kwa nyie wa maulaya huko na nje ya Tanzania najua mnatamani sana mngekua hapa kufundwa live na hii ni kwa wote wanaume kwa wanawake.

ukiiona nirequest nitakuadd pia uwakaribishe na rafiki zako, usiwaache na mawifi maana kuna michambo nao itawahusu ukiwa na swali ama unataka nizungumzie kitu nitumie tu email somowakwanzamchagga@gmail.com au whatsaap me +255 717 019320 na pia instamessage lakini naomba tuheshimiane mambo ya matusi ama kufundishwa matusi hapana sintoruhusu na nitakuchamba live.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment