Monday, September 9, 2013

Funs wangu wa nje..

Jamani nina funs wengi sana walio nje ya nchi guys najuwa wengine mnanitumia emails na tunatatua pamoja matatizo lakini mngependa kuongea na mimi moja kwa moja na tuonane.

Sasa mnaweza kufanya hivyo kwa kutumia Skype jina ninalotumia ni rosemarymizizi2 just add me and call me anytime LAKINI SIO USIKU SANA, na tutasaidiana maana mengine yananoga tukionana uso kwa uso.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment