Thursday, June 20, 2013

Nimeikuta hii sehemu eti tabia sugu za wame zetu...

1. UKALI 
2. ULEVI 
3. KUCHELEWA KURUDI HOME 
4. KUPENDA MARAFIKI KULIKO FAMILIA 
5. UMALAYA
6. KUGANDA SIMU ZAO 
7. KUFICHA MAMBO YAO YA MAENDELEO 
8. KUPENDA NDUGU ZAO KULIKO MKE
9. UBABE
10.KUTOKUKURIDHISHA KIMAPENZI
11. KUSAFIRI BILA KUAGA
12. UCHOYO
13. BUDGET
14. KUSAIDIA NDUGU ZAKE KULIKO ZAKO
15.KELELE KOSA KIDOGO TU KULIBEBEA BENDERA
16. KUNUKA MIGUU NA KUCHA 17. KUTOFUA CHUPI ZAO
18. KUVURUGA KABATI NA NDANI.
KAMA MUMEO /MPENZI AU MCHUMBA ANAYO MOJA WAPO KATI YA HIZI, CHEKA NA USIITAJE... HAHAHAAA

Reactions: