Monday, June 10, 2013

Kungwi MWANAUME...

Hehe heiya jamani nina habari njema kwa wanawake watakaokuja kufundwa mwezi wa saba jamani atakuwepo kungwi mwanaume ndio je atatueleza yote ya mapenzi na mahusiano wanaume wanapenda kutoka kwa wanawake...uuwwwii anamaneno hatare yani anavyochambua mapenzi mmhhh sijapata bado kuona mwanaume kama huyo sitaki kuwamalizia uhondo miye tukutane 7/7/2013 pale Majestic Hall sinza kwa remmy, 30,000/= lipia nafasi yako sasa...usije pitwa

Reactions:

0 comments:

Post a Comment