Wednesday, June 19, 2013

JE WEWE NI MJUZI WA MAPENZI AMA MJUZI WA KUFANYA MAPENZI....

WOTE TUNAENDESHA MAPENZI, WOTE TUNA WAPENZI , UPENZI UNAOPELEKEA KUWA NA MCHUMBA KISHA AWE MUME, KUMEKUW A NA KUJIFUNZA KWINGI NAMNA YA KUENDESHA MAPENZI NA KUFANYA MAPENZI, LAKINI PENGINE UNAFIKIRI HUJUI NA UNAHITAJI KUJUA ZAIDI, LAKINI PIA UNAWEZA UKAWA UNAFIKIRI UNAJUA KUMBE UNAHITAJI KUJUA ZAIDI.
NA HII INAPELEKEA TUTAKE KUJUA JE MZUZI WA MAPENZI NI MWANAMKE WA AINA GANI?
JE WEWE NI MJUZI WA MAPENZI?
HII NI MADA AMBAYO PENGINE ITAVUTIA WENGI KWANI HATA MIMI NILITAMANI SANA KUJUA MJUZI WA MAPENZI NI MWANAMKE WA AINA GANI? NILITAMANI KUJUA HILI.
ONGOZANA NA MIMI SASA MASWALI YAKO YAJIJIBU NA UJUE JE UMJUZI WA MAPENZI AMA LA?

KILA MMOJA ANGETAKA KUJUA MWANAUME WEKA, AMA MPENZI WAKE ANARIDHIKAJE? ANAFURAHIA NINI?
NA PENGINE SSA HAPA NDIPO PANATUFANYA LEO TUONE MJUZI WA MAPENZI NI MWANAMKE WA NAMNA GANI?
MJUZI WA MAPENZI NI MWANAMKE AMBAYE ANA SIFA ZIFUATAZO,
1. ANAYEJIAMINI YEYE KAMA YEYE KATIKA MASUALA YA KUENDESHA MAPENZI.
2. AMBAYE ANAJUA AWEKEZE PENZI LAKE WAPI.
3. AMBAYE AKISHAWEKEZA PENZI LAKE HAPO BASI MPENZI HUYO HABANDUKI. 4. AMBAYE ANAENZIWA NA MPENZIWE.
HUYU NDIYE MJUZI WA MAPENZI.

NAOMBENI MUONGOZANE NA MIMI POLE POLE, USIOGOPE WALA KUUMIA, NII ITAWASAIDIA AMBAO WANAJIINGIZA KWENYE MAPENZI WAJUE SASA WAFANYE NINI,, NA WAMBAO TUKO KWENYE NDOA TUONE SASA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUSHAMIRISHA PENZI LETU TUWE WAJUZI WA MAPENZI.

SIFA TUMEONA ZIKO SIFA KUU NNE, HIZO SIFA UKISOMA UNAMALIZA HARAKA, LAKINI UKIZITAFKARI UTATAFKARI SIKU KIBAO KWA KUCHAMBAU KIMOJA BAADA YA KINGINE. TUMEONA NI: KUJUA KUENDESHA MAPENZI, KUJUA WAPI UWEKEZE PENZI, UKISHAWEKEZA HAPO MPENZI ASIONDOKE, NA KISHA UENZIWE..

KAMA UTAJUA SANA KUENDESHAMAPENZI ALAFU USIJUE PA KUWEKEZA NDUGU KUNA TATIZO NA WENGI LIMETUKUTA HILI, KUJUA SANA KUENDESHA MAPENZIALAFU KUANGIKIA KWENYE MIKONO MIBOVU AMA KUANGUKIA MAHALA AMBAPO SIO SAHIHI, LAKINI PIA UNAWEZA KUANGUKIA MAHALA SAHIHI ALAFU HUJUI KUENDESHA PENZI NALO NI TATIZO, HIVYO VIGEZO HIVYO SASA 4 LAZIMA VIKUHUSU ILI SASA UWE MJUZI KWELI WA MAPENZI NA UONE UJUZI WAKO UNAFAA NA KUKUFANYA UFURAHIE PENZI AMA MAPENZI... HAINA MAANA KUSIWE NA MATATIZO AMA MIKWARUZANO,, LA HASHA, LAKINI MIKWARUZANO HIYO SIYO YA KUFIKIA MALAHA PA KUJUTA.

1. KUJUA KUENDESHA MAPEMZI, Jamani wote nafikiri tunajua mapenzi yanavyoendeshwa, ni lazima ujue kuendesha mapenzi katika hali kuu mbili, 1. Hali ya nje 2. Hali ya ndani, unaoendesha mapenzi kkatika hali ya nje ni pamoja na kuwa katika hali ya kumfurahisha mpenzio muda wote, ili hali ni mpenzi, wengi wanapokuwa na wapenzi sasa ndio wanakuwa kama wanatangaza vita, ni kama umewaambia anza ugomvi,, la hasha, upenzi haugombi, upenzi haulaumu, ndio maana sasa kama wewe ni mjuzi wa mapenzi kwa kujua kuendesha mapenzi utajua na kuchukua kigezo kifuatacho cha kwamba penzi lako uwekeze wapi na kwa nani,, hutakuwa na haja ya kugombana na mpenzi ili hali hana needs zako, mjuzi wa mapenzi huwa anaangalia kuwekeza penzi lake kwa mtu ambaye ama mwanaume ambaye ana mahitaji yake,, huyu ndiye mjuzi wa mapenzi ajuaye kuendesha penzi...

Mjuzi wa mapenzi kwa kigezo cha kujua kuendesha penzi,, ni mtu wa kusoma majira na nyakati... sio mtu wa kujiachia kwa kila mwanaume wazi wazi,, hapa ile lakini pia mjuzi wa mapenzi kwa namna ajuavyo kuendesha penzi ni aghalabu sana mwanaume atakayekuwa naye amuache,, sio rahisi kabisa, na ikitokea kaachika basi jua ni yeye kaacha.. hivi ndivyo ilivyo,,mjuzi wa mapenzi sifa yake kubwa ni kwua na wanaume kama sio 1 basi ni 2 tu hadi kuolewa, kwani mwanaume anayekuwa naye hataki kumuachia... huyu ndiye mjuzi wa mapenzi, kumbuka kwamba anawekeza anapopata needs zake,, so akikosea mara ya kwanza ya pili hakosei... kwa kifupi mjuzi wa mapenzi sio mwanamke wa wanaume wengi.

Na kwa nini sio mwanamke wa wanaume wengi? KWA VILE MPENZI ALIYENAYE YANI HUYO MWANAUME KIGEZO KIKUBWA CHA KUFANYA AVUTIWE NAYE NI PAMOJA NA KUTOKUMUONA NA WANAUME WENGI ZAIDI YAKE, NA HII HUWAPENDEZESHA SANA WANAUME WENGI, WANAUME WENNGI WANAPOKUWA NA MAHUSIANO NA WASICHANA HUWEKA MASPAI ILI KUCHUNGUZA JE DEMU WANGU ANATOKA NA NANI, NA AKISHAJUA NI KAMA ANAPATA KINYAA NA KUKUACHA NA HATAKI KUOA MTU AMBAYE ANA WANAUME WENGI..

KWA MAANA HIYO BASI, UNAPOJUA KUENDESHA PENZI NJE NA PIA KUNAPOJUA KUENDESHA PENZI KATIKA HALI YA NDANI PENZI LA NDANI BASI WEWE NI MJUZI WA MAPENZI, ONA INAVYOENDANA, UNAJUA KUENDESHA PENZI NJE, UNAJUA KUENDESHA PENZI NDANI ALAFU SASA UNAKUWA NA MTU AMBAYE ANA NEEDS ZAKO NA AMEKUFUATA MWENYEWE KWA RIDHAA ZAKE BILA KULAZIMISHWA NINI KITAMUONDOA?

2. ANAYEJUA AWEKEZE WAPI PENZI LAKE. HUYU NDIYE MJUZI WA MAPENZI BWANA,, Mjuzi wa mapenzi nakuambia hivi anaangalia kimapenzi, haangalii kwa dhana ingine, la hsaha, huwa anaangalia je penzi langu naliwekeza mahala salama? je huyu nikimpa penzi langu anaweza kulienzi,, je atadumu na mimi ama ndio leo yeye kesho mwingine? Huyu ndiye mjuzi wa mapenzi, hana papara kwani anajua awekeze kwa nani, na kwa vile sasa anawekeza kwa mtu ambaye ana needs zake hapo atadumu na atajiachia katika hali ya upenzi na huyo mpenzi anayefika hapo lazima aridhikie penzi hilo, kwani mara nyingi wajuzi wa mapenzi sio watu wa kutaka kushare penzi,, pamoja na kuangalia sana choice zao ni tofauti na watu wengine,, mwanaume ambaye anapendwa na mjuzi wa mapenzi sio rahisi kuonekana na wasichana wengine katika kipindi cha uchumba,, ila sasa akishamuoa huyo mjuzi wa mapenzi ndipo pale anakuwa anaonekana..

Mjuzi wa mapenzi hana papara, hakurupuki, sio wa macho juu juu, kumbuka kigezo chake kikubwa ni hapendi kushare penzi.... so kwa vile hapendi kushare penzi sio rahisi umuone kwanza akiwa ana wanaume ambao ni wanaume wa watu wengine, ama wanaume walioacha wapenzi wengi nk.... kwa maana hiyo sasa anaowekeza penzi lake hapo basi ni lazima lidumu, kwani ANAFURAHIA KUWA NA HUYO MPENZI, LAKINI PIA ANAMFURAHISHA HUYO MPENZI KWANI NI MTU ANAYEJUA KUENDESHA MAPENZI YA NDANI NA NJE.

3. MJUZI WA MAPENZI AKISHAWEKEZA PENZI LAKE MAHALA MPENZI HUYO HABANDUNI WALA YEYE HAJIBANDUI WALA KUBANDULIWA. Huyu ndo mjuzi wa mapenzi..MARA NYINGI PENZI LAKE LIKISHAMIRI SASA ANAJIACHIA NA MPENZIWA, NA WAKISHAKAA MUDA MREFU NA KURIDHIANA SASA ANAKUWA MKE NA MUME, MJUZI WA MAPENZI AKIWA KWENYE HALI YA UPENZI, HALI YA NDOA MJUZI HUYU SIFA HII INAONGOZANA NAYE SIFA NAMBA NNE.

4. MJUZI WA MAPENZI ANAENZIWA BWANA, MJUZI WA MAPENZI ANAENZIWA KIMAPENZI, ANAENZIWA KIUCHUMI, HAIJALISHI KIPATO NA SIO LAZIMA APEWE SIJUI GARI AMA DHABABU AMA SIJU IMRADI WA MAMILIONI, LA HASHA, ILA ANAENZIWA KULINGANA NA HALI YA UCHUMI YA MPENZI WAKE, HUYU NDIYE MJUZI WA MAPENZI,MJUZI WA MAPENZI ANAHESHIMIWA, ANATHAMINIWA, ANAHURUMIWA, ,, (Mjuzi wa mapenzi uke wenza haumpi shida, wala mume kutembea na mwanamke mwingine hakumpi shida) NAJUA UTANIULIZA KWA NINI BASI KAMA NI MJUZI WA MAPENZI MUMEWE ASITULIE? hahahahaaaaahaha

TUKUTANE WAKATI MWENGINE KUJUA JE MJUZI WA MAPENZI MUMEWE HUTOKA NJE NA KUWA NAWANAWAKE WENGINE? KWA LEO NIWAACHE HAPA SASA JIULIZE WEWE NI MJUZI WA MAPENZI AMA MJUZI WA KUFANYA MAPENZI,, AKA NGONO... HAHAHAHAAAHAH


Reactions: