Tuesday, February 5, 2013

Wapi wanawake wa Kilimanjaro Line..


Hehe heiya wapendwa wangu natumaini MUNGU amekuwa mwema kama alivyo siku zote na amewabariki mkaiona siku hii ya leo.

Leo nataka kuongea na wanawake kwa ujumla wadada/wamama/wake/wachumba wote mlio Arusha na mikoa ya jirani shoga miye ndio huyo naja huko tukutane jumamosi Penguin Resort Hotel-Sakina 20,000/= yako tu 11:00jioni  njoo ujipe raha, ujifunze maujuzi, uutambue mwili wako uzidi kujiongezea mautamu mwanamke kujipenda bwana asikwambie kitu mengine yote nyongeza, utaonyesha tofauti ya kiuno cha kitandani na kiuno cha ndombolo, matumizi ya Tango, kitunguu swaumu, mchaichai, mdalasini, alovera,asali,ubuyu,biringanya na mengine mengi baada ya kufundwa hutakaa uyakose nyumbani kwako.

Karibuni sana kwa maswali na maelekezo zaidi wasiliana nami

Rosemary Mizizi
Mobile:+255 717 019320
BBM PIN:23A0C2B4

 PENGUIN RESORT HOTEL, Ipo Nairobi/Moshi road jirani na Sakina Super Market,

Reactions:

0 comments:

Post a Comment