Tuesday, November 13, 2012

R.I.P Mariam Khamis

Usinichafulie jina mabaya kunizushia, tabia mbaya mimi sina acheni kunipakazia...

Kama mmekosa la kusema bora mngejinyamazia msichekeshe walio nuna sio kweli manayozua, na mseme matope hamtonipaka jamii hainitemi mate nazidi kudhaminika..

Mimi nikipenzi cha wote napendwa na kila rika shauri zenu wapambe, mola mmiliki wa yote bahati kwangu ameiweka mtajiju.........

Reactions:

0 comments:

Post a Comment