Monday, November 12, 2012

Msaada Tutani..

Habari zenu mimi ni mdada ambaye nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka kumi sasa, na mungu amenibariki nimepata watoto sita wanaume watano na mwanamke mmoja kila mara nilikuwa natafuta mtoto wa kike ndio maana nikaishia na watoto wa nnne ambao wa tano mungu akanisaidia nikapata wa kike baada ya kuona hivyo nikaona nizae tena ili nikipata mwengine wa kike huyu mtoto wangu apate msichana mwenzake wa kukuwa naye lakini haikuwa hivyo nikapata mtoto wa kiume na kuwa na watoto sita.

Baada ya kuzaa hivyo nikamuomba daktari anitoe kizazi kwamba nimeshazaa watoto wa kutosha sasa sitaki kuzaa tena nibaki tu kuwalea, kweli kabisa nikatolewa kizazi ni mwaka sasa tokea nitolewe kizazi ila chakushangaza dada yani hamu ya mapenzi sina kabisa, nitofauti kubwa sana iliyopo sasa na kabla sijatoa kizazi, sijisikii hata kufanya mapenzi yani simuombi mume wangu mpaka atake yeye na akitaka ninampa tu ili amalize shida zake.

Naombeni msaada wenu jamani maana kizazi siwezi kukirudisha tena nifanyaje ili nipate tena hamu ya mapenzi ama kunadawa za kienyeji zipo nitumie maana kwa mwendo huu sasa ndoa itakuwa ngumu yani itanishinda.

Reactions:

2 comments:

  1. Mdada pole kwa hayo mashaka ya kutokuwa na nyege au kutosikia raha wakati wa kutombwa na mumeo, huo utakuwa ni ugonjwa nenda ukamuone doctary kwani mimi nimezaa watoto wa nne na nimefunga kizazi na sina hayo matatizo tena raha ndio zimezidi kwa sababu nnapokuwa natombwa na mume wangu shoga najiachia sina wasiwasi wa kuinga mimba basi raha telee telee kushinda nilipokuwa nikizaa. nakushauri umuone dk wako

    ReplyDelete
  2. Waone Ufahamu wanapatikama Mwenge karibu na ITV www.1000ufahamu.com

    ReplyDelete