Monday, November 26, 2012

Hehe heiya..

Jamani wanawake siku yetu ya kufundwa ndio hiyo tarehe 7/12/2012 wiki ijayo umeshalipia nafasi yako?? kama bado nipigie 0717019320 sasa upewe na kikoi chako cha kufungia na kuzungushia nyonga shosti na kwa wanaotaka kulipia lakini wamebanwa makazini nipigie tutawaletea makazini shughuli itafanyika The Majestic Hall sinza kwa remmy hakuna viingilio vya mlangoni jamani mwisho wa mchango ni tarehe 6/12/2012 unaambiwa raha ya tunda mbegu na raha ya mwanamke nyonga unaijuwa kuitumia yako????

Reactions:

0 comments:

Post a Comment