Monday, October 22, 2012

Chezea Reserve Group wewe..

 

 Jamani siku hiyo hakukuwa na kupiga picha tulikatazwa na kungwi kwahiyo hizi mbili tulipiga mwishoni shughuli ilivyoisha tulinogaje sasa na mdira yetu..hili ni kundi letu la wadada la reserve ndani ya facebook sisi huwa pamoja kwenye shida na raha hatuachane ng'o kama Tv na Antenna na wenyewe tulikuwepo kufundwa sisi tunajiamini bana kila idara tupo ng'aring'ari kwanza umeona sare zetu zinavyotunogesha sasa upate picha ukumbi mzima ulikuwaje yaani watu walipendeza jamani.

Reactions:

1 comments:

  1. Mmmmmmmhhhhhhhh nataman sana maana nilikuwa na mambo mengi ya harusi ya ndugu yangu, sikuweza kushiriki, ila hongera kwa akina mama wote walioweza kushiriki, hongera na kungwi japo sijamuona, Reserve Group oyeeeeeeeeeeeee. Tuko pamoja. Grace wa Kimara

    ReplyDelete