Tuesday, September 11, 2012

TUNU'S WEDDING...Karibu kwenye chama cousinTunu alinogaje sasa..

Tunu na hubby wakitambulisha wageni wao..


Mr & Mrs I. Mizizi (jamani nani alisema mganga hajigangi,mbona miye nimejiganga katika suti ninazouza nikajigangia hii ya usiku..nilitokelezeajeee sasa, najisifia)


Mr E. Mallya (baba yangu)


Mama yangu mlezi na mkwewe wakicheza...


Kila mtu na mtuwe..


Hata miye na wangu...


Sijui wewe..ama unamendea wa watu..hehe heiya tajibeba


My sister..anakaa Zanzibar sasa wiki moja kabla ya harusi yangu nilisuguliwaje mama wewe mikorombwezo kibao maana chezea mwali wewe.. Wakikatakata keki kuashiria wanawakata magumegume na magubegube yote yanayomendea vya watu..Lako hilo kama limekukera

Reactions:

0 comments:

Post a Comment