Wednesday, July 25, 2012

Msaada Tutani..


Pole kwa majukumu yanayokukukabili yakimo ya kifamilia na kutuelimisha ss wakina mama hasa ss tunaoingia kwenye ndoa.Mimi ni msichana mwenye umri miaka 29 nina mchumba ambaye natalajia kufunga nae ndoa  ndani ya mwezi wa kumi na moja,Tatizo  linalonusumbua  ni pale ninapokutana nae kimwili ,yaani ile tunaanza tu mimi kuna majimaji mazito naweza nikasema ni kama shaawa hunitokea yakitokea hivyo tu, hutunyima raha mpaka tunashindwa kuendelea na mechi ingawa tunakuwa tunatamani kuendelea lakin tunashinda kwa sababu ya  majimaji.Je, nitakuwa na matatatizo gani? maana ndiyo mara yangu ya kwanza kunitokea tokea nimewajua wanaume.please!naomba unisaidie ninusulu ndoa yangu mapema.



4 comments:

  1. Wapendwa mimi nilishamuandikia mail na kumpa msaada wangu lakini kama kuna wengine hapa wanaojuwa jinsi ya kutatua hili please naomba mumsaidie huyu dada.. hili jambo lisije likawa kero katika ndoa yake anayoitegemea kuingia siku za karibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Please weka wazi kwa wote kwa vile kuna wengine wana tatizo kama hili lakini hawawezi kuwa wazi

      Delete
  2. Mamii, natumaini wewe ni mzima

    Hilo ulilokuwa nalo sio tatizo ni mwili wako unajibu pale mchumba wako anapokuwa juu yako, na sio wewe tu nimesikia wanawake wengi sana wenye tatizo kama hilo ni kwamba umetokea kumfeel sana mchumba wako kwahiyo anapotaka tu kuingia akishika uke wako na uume wake wewe unakojoa hilo sio tatizo.
    na ni vyema ukimuuelewesha na yeye akalijuwa ila kwa njia ya mahaba labda mkiwa mpo pamoja ama hata kama yupo mbali mtumie hata text mwambie kwamba kila unapomfikiria wewe unaloa hii itamfanya ajuwe kwamba lile tatizo ni kwasababu unampenda na kumfikiria na unaenjoy kuwa naye. hatalichukulia kama ni tatizo baya kwamba akukimbie hapana.

    ReplyDelete
  3. Kutokwa na umajimaji wakati ukiingiliwa nadhani hilo so tatizo, ni kwamba unafurahia, mimi bado sijaoa ila nishawahi kufanya ngono na mwanadada mmoja ikamuia hivyo, sijui kama uamajimaji huo ni mzito sana au ni mwingi kupita kiasi, sijui labda unaweza ukafafanua zaidi, au siyo?

    ReplyDelete