Wednesday, May 2, 2012


Dada Rose, habari ya kazi! Hebu naomba niwekee hii shida yangu katika mtandao wako. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 natafuta mpenzi wa kike asiyezidi umri wa miaka 45 ili kuweza kusaidiana katika swala zima la mapenzi.Naomba nieleweke natafuta mpenzi na si vinginevyo. Naomba huyo atakayejitokeza angalau awe na muonekano wa kuridhisha hata kuweza kutoka naye outings! Aliye tayari anicheki kwa abdallah.issah@rocketmail.com  na awe tayari kupima afya, mambo mengine yatafuata baadaye.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment