ama kweli tembea uone,jamaa mmoja kamuacha mke wake na kuishi kinyumba na binti wa mke wake (mtoto wake wa kambo)kisa eti mke wake ni mvivu kwani kazi zote za nyumbani ikiwemo kupika,usafi wa ndani na hata kufua nguo zote zikiwemo za ndani za baba huyo anafanya huyo binti,na mama mwenye nyumba kazi yake ni kula na kulala hivyo baba kaona bora abaki na huyu binti coz ndio mke bora,hii ni story ya kweli kabisa,je wewe unajifunza nini hapa?
0 comments:
Post a Comment