Friday, September 16, 2011

TAMBUA.....

kuna kipindi nilashawahi kutuma post ya tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kufanya mapenzi ya kwamba tutambue ya kwamba mwanaume yeye ni sufuria na mwanamke yeye ni chungu inabidi uhangaike sana ili kipate moto hapa ndipo....

kuna mtu mmoja ameniuliza kwamba ni kwanini wanawake wengi huwa wao hufarahia mzunguko wa kwanza tu na mizunguko yote inayofwata hufanya tu ili mwanaume amalize lakini sio kwamba husikia raha kama ule wa mwanzo.

kwanza nataka tuweke jambo moja wazi ya kwamba wanaume wengi hawajui kumuandaa mwanamke, utakuta tu ye akisha mbusu na kumshika tu kidogo anataka kuingia, kuna jambo moja ambalo nimeshalisikia kwa wanawake wengi sana wakilalamika haswa wale wanaoiba wapenzi wa watu kwamba mwanaume hawa huwa wanamitindi ya kuwapapasa na vidole ukeni yani wakiwafanya wasikie raha ili waweze kuingia na wanawake haohao niliongea nao watano wamelala mika kuchubuliwa sana ukeni na kuwasababishia kukosa kabisa hamu ya kuendelea kufanya mapenzi, mzunguko wa kwanza huwa na hamu kwasababu ndio anaanza lakini baada ya ule msuguano wa kuzidi kuchubuka basi na hamu yote huisha.

ukiachana na hayo kuna wale wanaume ambao yeye popote hamu yake itakapomkuta hutaka kuingia, yani haangalii kama hii sehemu mwanamke amekaa comfortably, yeye anaparamia tu natoa mfano mmoja, mapenzi ya kufanyia kwenye gari ni matamu kama unamazoea nayo, lakini ukimkuta mwanamke ambaye hawezi kujipinda kwenye gari basi hatakuwa na raha ya kuendelea kufanya mapenzi kwahiyo atabaki tu kama gogo wewe umalize shida yako  kwahiyo wanaume pia watambue mwanamke anataka sehemu ambayo atakuwa huru katika kuzungusha.

na lingine mnapokuwa kwenye starehe hiyo tambua mwanamke wako hupendelea nini usije kujikuta unaleta ufundi kwenye jambo ambalo yeye hapendi, kunawanawake wengine hupata hamu zaidi pale mwanaume anapoongea naye maneno ya mahaba wakishughulika lakini wanawake wengine hiyo hawapendi inawaharibia kabisa hamu kwani wao wanataka tu kushughulika na sio siasa za mapenzi, tujitambue..

na kubwa zaidi ni maudhi hili naona wanaume wengi hawalijui, maudhi kati ya wapenzi ndio sababu kubwa sana mwanamke anashindwa kuenjoy kufanya mapenzi na mwanaume, utakuta wewe hata uombi vizuri tendo hilo unatakiwa kubembeleza na kuliomba kwa mahaba sio unaparamia kama kichaa, lazima umtomase ili asikire hamu zaidi ya kuwa nawe hata ukimaliza mzunguko wa kwanza baada ya pale umbusu, mchezee azidi kupata hamu na atatoka mara nyingi sana karibiia kila mzunguko, sio ufanye kinguvu umekuja na hamu zako mara kama kavaa kanga uivute umtupe kitandani umfanyie vurugu mpaka uingie kama unataka vita siuende jeshini mwanamke sio uwanja wa mazoezi mwanamke ni yai hushikwa na kutunzwa kwa uangalifu likidondoka limedondoka halirudishiki na ikibidi utafanya kazi kubwa sana.

Reactions:

1 comments:

  1. Rosemary, yani wanaume wengine sijui wa na nini yani mapenzi hawajui kabisa, hamna kubembeleza wa kuzama tu ndio wanachokijua mtu hata movie za mapenzi huangalii ukajifunza hata story hupiki na wanaume wenzako ukasikia wanafanyaje mchezoni, jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete