Thursday, March 31, 2011

COMMENTS....

jamani narudia tena blog hii ni kwa yeyote anayejisikia vitu vilivyoandikwa humu vinamuhusu kwa namna moja ama nyengine, na kama wewe unaona topic fulani hazikuhusu ama huziamini unaweza UKAIPOTEZEA hamna anayekulazimisha usome ama utume comment naandika kwa manifaa ya jamii nzima na kitu kinachoandikwa humu mengi hutumwa na waliyoyakuta kwa email, kwahiyo kama upo hapa kuangalia lipi la ukweli lipi la uongo unajipotezea wakati....

Reactions:

0 comments:

Post a Comment