Thursday, July 1, 2010

MIGUU KUWAKA MOTO......

kuna mdau wangu mmoja mkubwa sana wa blog hii yeye jamani anasumbuliwa na miguu kuwaka moto, yani anasema mpaka akilala hawezi kabisa kufunika miguu na mpaka akiiweka katika maji ya baridi inaweza kuyafanya maji hayo kuwa yamoto...
hili ni tatizo kubwa sana unalakumueleza?

kwamimi ninavyofahamu hiyo itakuwa ni allergy ya kitu fulani, nakushauri uende hospital na ukapime kwa sababu hata mimi kitu kama hicho kilishawahi kunitokea lakini mimi sio miguu kuwaka moto ilikuwa ni upande wa kushoto wa mgongo na nilivyoenda hospital Dr. akaniambia ni allergy akanipa na dawa za kupaka na ninaendelea vizuri tu...

1 comments:

  1. Pole sana Mdau!

    Yawezekana ikawa kweli ni allegy, lakini mara nyingi zinakuwa ni dalili za hypertesion (pressure ya juu) au kisukari. Muone dactari hasa wa magonjwa niliyoyataja hapo juu atakushauri. Lakini pia usisahau kunywa maji kwa wingi, punguza au acha kabisa kula nyama nyekundu(ya ngo'mbe, mbuzi n.k), punguza kula chumvi nyingi na mambo mengine kama hayo. Hiyo hali uliyo nayo siyo dalili nzuri kabisa lazima ushughulike mapema. Vilevile waweza kumuona dkt ndodi (yupo magomeni na watu wengi wanamfahamu) au dkt Ndulu (yupo Morogoro, Kihonda Amadiya) kwa hawa watu huwezi kosa msaada. Pole sana mdau!

    Obazega!

    ReplyDelete