Monday, July 12, 2010

DAWA ZAKUONGEZA NGUVU ZA KIUME.......

Aunty Rose hivi jamani ni kweli kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume? na kama zipo ni kweli zinasaidia na zinasaidiaje? na hizi dawa zinakusaidia kumfikisha mwanamke kileleni?na huwa zinamasharti kama dawa za magonjwa ya kawaida? naomba mwenye jibu anipe tafadhali...

na kama kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia naomba aniambie faida na hasara zake....

FAISAL

Reactions:

2 comments:

  1. mimi nakujibu hivi kijana usijaribu kutumia dawa yeyote bila ushauri wa doctor kwani ni hatari kwa maisha yako kwanza hizi dawa zinazouzwa kienyeji zina madha makubwa sana imesha waadhiri wengi vijana kwa wazee wale wanaouza hizo dawa wanachotaka wao hela hawaangalii ni utapata madhara gani kwa hiyo nawewe ukiingia kichwakichwa utakuja kujuta baadae kama una matatiza ya uzazi mwone doctor akupe ushauri mzuri mzipende kujaribisha kilakitu ktk miili yenu fanya mozoezi kula vizuri na ujiamini nadhani ukiyafuata haya ninayoandika utafanikiwa tu hutakuwa na haja ya dawa za mtaanini hayo tu

    ReplyDelete
  2. nafikiri kabla ya watu kufikiria dawa hizi ni bora wakuatane na washauri kwa kanseling badala ya kuumia midawa hii yenye effects huko mbele. upungufu wa nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa yaweza kuwa tatizo la kiakili / kisaikolojia

    ReplyDelete