Sunday, June 27, 2010

RUHUSA......

hivi wewe kama mume unapenda mke wako akuombe ruhusa muda gani? kama labda anategemea kuwa na safari ama anataka kwenda kwenye sherehe bila wewe...
na mke je mumeo akutaarifu kutokuwepo kwake kwa mda gani kabla ya siku anayotaka kutoka? hili limekuwa tatizo kubwa sana katika ndoa siku hizi.....

0 comments:

Post a Comment