kuna maswali nimeulizwa na watu kuhusu dawa ya chunusi kama nilivyoandika kwenye toleo ya may nitaandika hayo maswali pamoja na majibu yake kama ifwatavyo...
swali: ni kiasi gani cha shahawa huitajika katika kufanya scrub?
Jibu: cha muhimu kujuwa ni kwamba wakati ya kufanya scrub ya shahawa unatakiwa wewe na mpenzi wako msikutane kimwili japo kwa siku tatu-nne hii husaidia anapotoa shahawa mpenzi wako zinakuwa nyingi, nzito na zenye afya kwani atakuwa hajachoka na nivizuri kama atakuwa hajapata kilevi cha aina yeyote siku hiyo..
Swali: ni jisnsi gani ya kupaka hizo shahawa?
Jibu: wakati manakutana kimwili akikisha anapotoka atoke kwenye tumbo lako asimwage chini kwamni zinaweza kukamata vijidudu, atakapo kumwagia kwenye tumbo itakuwa rahisi kwako uchukue na kusambaza katika kila kona ya uso wako kama unavyopaka lotion, isambaze ukihakikisha imepita katika kila upande wa uso, baada ya hapo subiri kwa dakika tano-kumi halafu uisugue taratibu mmpaka itakapoisha kabisa, ukiwa tayari ioshe kwa maji tu yasiyo ya moto, kausha uso wako na baada ya hapo usipake kitu chochote hata mafuta usoni siku hiyo nzima.
Kumbuka: narudia tena sio kila mtu (ngozi) inaweza kumpenda hii scrub..
hahahhaaaa duh dada hii hatari sana ndio inapendeza kufanya hivyo lakini mh:
ReplyDeleteyataka moyo mi nikifanya hivyo naweza nisile wiki nzima nikikumbuka maana duh ni nzuri ziingiee tumbuni kutengeneza mtoto lakini kupaka usoni ni ishuu ila ni wazo langu kwa wanaoweza wafanye hivyo kuliko kutumia kemikali zinazoalibu uso
mhm!
ReplyDelete