Tuesday, May 18, 2010

WANAUME NA NGUO ZENU ZA NDANI....


jamani wanaume hii ndio fashion ama? maana tumeona wanaume wengi ama sijui ndio wanaitwa mabrazameni kama nilivyoambiwa kitaa.. wao huwa wanavaa nguo chini ya makalio madai yao tuonyeshwe nguo zao za ndani ama? kwakweli that just aint good haivutii hata kidogo tena afadhali wemgine wanaofanya hivyo na kuvaa nguo nyeupe ndani kuliko wale wanaovaa nyekundu, njano, kahawia na rangi hizo nyengine kali kwakweli haivutii...

mwanaume anapendeza akiwa amevaa vizuri sio nguo anatembea anazishikilia chini maana zinataka kumdondoka, ama utakuta saingine anatembea kama amebeba fuko la unga kwenye suruali limemuelemea kwa uzito, its just not right..

ladies jamani unless unapenda mpenzi wako avae hivyo kitozi wenyewe wanaita, lakini if you dont like that style and your man is dressing that way, gal tell him to his face.....

Haipendezi....

2 comments:

  1. that's hip hop style babe, u can call it hustlers style sio ya matoz hiyo ila matoz wanacopy
    they all knw that

    ReplyDelete
  2. swaga bovu..swaga lililoenda shule hilooooo..

    Anywayz.. sikiliza wimbo wa Soulja Boy Tellem..it goes like this...

    "This - right - here - is - ma - --
    pretty boy - swaaaaag

    pretty boy swaaag, pretty boy swaaag X4 "

    Yall dig?

    ReplyDelete