Wednesday, May 26, 2010

MDALASINI, TANGO NA ASALI....
jamani wenzangu nina jambo mlikuwa mnajua kama mdalasini, asali na tango ni dawa ya kumpa mtu nguvu kwenye mechi? kama ulikuwa hujui ndio ufahamu eti..


kuna dada mmoja alikuwa analalamika mpenzi wake nguvu kitandani hana, anasema jamaa akishatoa moja tu basi nguvu zote zinaisha jamaa hawezi hata kurudia ya pili, na hapo mwanamke wake huyo anakuwa hajatosheka lakini jamaa hajiwezi kabisa..
sasa huyu dada akawa anaomba ushauri kwa watu wazima akiwaeleza swala lake na mumewe watu wengi wakawa wanamshauri mengi tu pamoja na ya kwamba mumewe anywe maji ya mchele yale ya kwanza, sijui mwengine akamwambia anywe maji ya madafu kwa wingi na wengine wakimwambia aende kutafuta dawa za miti shamba...akafika kwa bibi mmoja wa zamani (umri umeenda) yule bibi akamwambia yule dada ampe mumewe mdalasini pamoja na asali achanganye kwa pamoja atie na maji ama aiweke kwenye chai, halafu kila chakula cha yule baba kisikose kipande cha tango..yule dada akafanya kama alivyoambiwa na yule bibi, sasa hivi dada anafuraha mambo si shwari, kwahiyo huu ni ushauri tu ya kwamba ukiona mwezio nguvu hana akienda moja anahema kama kasukuma trekta, mwanaume anahema kama presha imeshuka (hehehe) basi sio vibaya ukijaribu hayo..lakini naomba niseme sio tu kwasababu huyu dada yeye mpenzi wake alipata nafuu ndio kila mtu itakuwa hivyo wengine vyao vya kurithi utalisha hivyo vitu milele jamaa hata kubadilika asibadilike...

Reactions:

21 comments:

 1. kweli dada juu yaili na exprience on this but mdasini,tango na asali.. ndio wada kweli.?

  ReplyDelete
 2. yaani hiyo nimeipenda sana iko juu na mimi nitajaribu grace wa ubungo

  ReplyDelete
 3. sisi wanaume kama mwanamke anajua kucheza na mboo vizuri mboo husimama mpaka unahisi inata kuchomoka.haina haja ya tango sijui mdalasini.mie mboo yangu ni ndefu na ina nguvu kishenzi,nashangaa wajingawajinga wanasemaga eti mboo ndefu haina nguvu ,eti fupi ina nguvu,mie na inch 9 lakini inasimama nakua ngumu kama mbao.kamna mnabisha wekeni email id zenu niwaoneshe kitu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mbona wanasema tango na asali ukichanganya inakua sumu? Nisaidie.

   Delete
 4. Hii ni blog ya kizinzi. Of course ina ushauri wa maana lakini imekaa kizinifu zaidi!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kweli kabisa. Huyu Rosemary sijui kama anaposema ana malengo ya kuimarisha ndoa yuko serious. Uzinzi na ndoa ni vitu viwili tofauti. Nashani nae ni mzinzi mkubwa!!

   Delete
  2. ukishindwa ndani utamani nje ndo unaona raha mpe pewa dawa mtulie ndani na hukulazimishwa kusoma kwa nini upinge pita zako uende

   Delete
 5. hizo nguvu kwa wanaume na je? kwawanawake ambao wanaridhika na bao moja mwanaume akirudia anafanya kumridhisha tu wakati yeye hahisi raha yoyote? dawa yake nini?

  ReplyDelete
 6. Nna rafiki yangu huwa anasema huwa haoni faida ya kuwa na mwanaume wanapoanza mechi hawezi kukojoa kwakutumia mtarimbo wa mme wake mpaka atekenye nanii yake kwanza ndo akojoe akitoka hapo hana tena hamu yakurudia chezo nikamdadisi alikuwa anapiga punyeto je atewezaje kuinjoi kama watu wengine?

  ReplyDelete
 7. hiyo mdalasini,asali na tango nimeipenda sana,nitaijaribu coz nahisi inafanya kazi.kuhusu huyo dada asiyeweza kukojoa kupitia mtarimbo wa mumewe,hiyo huwa inawatokea wanawake wengi sn kwasababu mwanaume ni rahisi sn kuget stimulated kuliko mmwanamke na ndivyo wanaume wanawahi kukojoa kuliko wanawake so mwanamke anahitaj achezewe kinena hadi akojoe na sio lazima awe alikua anapiga punyeto jamani,though punyeto sio mbaya coz inaepusha magonjwa na stress za mapenz.

  ReplyDelete
 8. safi penda hii mada no kulala na kulalamika hapa

  ReplyDelete
 9. UZinzi tu !hamjengi mnabomoa

  ReplyDelete
 10. ushaur mzuri,lakin nasikia tango na asali ni sumu kwamba ukila kwa wakati moja waweza kufa..vp hii

  ReplyDelete
 11. yangu ni kiboko yao, nikimtwanga nayo mtu hadi anachanganyikiwa na wala hatamani kuiacha. jaribu na wewe uone kazi yake.nitafute hapa nikupe utamu wa kihistoria maana nina mboo c ndefu sana ya kutisha ni nchi 7 hadi 8 nene lakini utamu wake ni kiboko. napatika katika email hii bichema_ali@yahoo.com

  ReplyDelete
 12. jamani naomba niwafahamishe kuwa UKICHANGANYA ASALI NA TANGO NI SIMU.INAUWA KABISA MIMI NIMESHUHUDIA HILI
  chukueni tahadhari mtauwa wapenzi wenu

  ReplyDelete
 13. Mh nyie jamani mimi pia nitajaribu hiyo ila mie sijui kama sina nguvu au ninazo .maana kwa wife nikipiga bao moja tu la kwanza basi ile nikiwa nyumba ndogo mchezo unaenda dakika 90 zote kwa wife ile warmup tu cha kwanza basi sina ham tena. mpaka na yeye hapendi kusex na mm huwa nafanya kulazimisha. ipo siku aliniambia hajawahi kusikia raha ya kutombxxxx, nikasikitika sana maana kabla ya hapo nilikuwa nacheza naye em mpaka anashindwa kuamka asubuhi

  ReplyDelete
 14. jamani semeni kweli kama mdalasini tango na asali ni sumu.maana yake kama kunaweza kuleta maafa na laengo la mtandao huu ni kwa ajili ya kupeana elimu mbali mbali ili watu wajue nini wafanye na waishi vipi, matatizo yapo na mwenye kuyaondoa ni nani kama si wewe na mimi through kufundishana pamoja. asante

  ReplyDelete
 15. ACHENI HIZO MAANA NI SAWA NA WALE WACHAGA WALIOKUWA WANADAI KUWA MHOGO UKILA NI SUMU NA UTAKUFA LAKINI IKUMBUKWE WAKATI WACHAGA WANADAI HIVYO KIGOMA,TABORA ,RUFIJI ,KILWA NA SEHEMU NYINGINE MUHOGO ULIKUWA UNALIWA BILA KUWA NA MADHARA YEYOTE ILE. IKUMBUKWE KAMA MADHARA HATA CHIPS MAYAI KUNA WATU WAKILA ZINAWADHURUKWA HIYO JAMAA ZANGU KAMA KUNA KITU KINA KUDHURU WEWE BASI USITOLEE FATWAA KWAMBA WENGINE WAKILA WATAKUFA INATEGEMEA NA MTU,ASALI,TANGO NA MDALASINI KULA TU HAKUNA MADHARA YEYOTE JARIBU HATA SASA HIVI

  ReplyDelete
 16. Ni hatari sana na ni sumu kali sana hiyo, hadhari lazima iwepo usije ukafakamia mi asali , tango na mdalasini ukafa au kitu kikadisa masaa nane bila kupoa!!!

  ReplyDelete
 17. someni maelekezo kwa umakini

  ReplyDelete