SIO YEYE TU KUNA KUNGWI MWINGINE MWANAMKE UNAAMBIWA UKIMWAGIWA UGALI TUNACHOVYA NA MBOGA HAHAHAHA HAPO SASA WATAKAVYORUSHANA ROHO NA KUSUZIIKA MIOYO HUYU KUMPA YULE NA YULE KUJIBU HIVI BIBI UKUMBI UTAWAKA MOTO..TUTAJUA KUNGWI MWANAMME NA MWANAMKE NANI MKALI LAKINI TUTAJIFUNZA MENGI TUNAPOTOKA UKUMBINI...
SHOGA OMBA VISA YAKO MAPEMA SIO WANAPOANZA KUKATA MAUNO WEWE NDIO UNAPIGIWA SIMU URUDI NYUMBANI SHOGA UTAKOSA, KAMA KAWAIDA YETU WANAWAKE WENYE NYONGA ZAO WATAKUWEPO KUTONYESHA MAUNO YA KITANDA, HAHAHAHA BIBI USIJE UKAWA UNCHEZA MZIKI KITANDANI MWENYEWE UNAJIONA UNAJIPA RAHA NA KUMPA KIJANA RAHA KUMBE UNACHEZA NDOMBOLO...HEHE HEIYA
UMEOLEWA, UNAMCHUMBA, AU HATA BADO HUJAMPATA KUJIFUNZA NI VYEMA, MWANAMKE LAZIMA UWE IMARA NA HODARI KATIKA NYUMBA HASWA CHUMBANI MAANA CHUMBANI NDIO KUNAPOIJENGA AU KUBOMOA MAHUSIANO YAKO NA HUYO BWANA...
ATOKE NJE KWA TAMAA ZAKE BIBI SIO UMESHINDWA KUMPA RAHA YA MWILI NA STAREHE YA MAPENZI....
NI SIKUKUU YA UHURU 9/12/2013 PALEPALE MAJESTIC HALL SINZA KWA REMMY KWANZIA SAA 11:00 JIONI MPAKA SAA 3:00 USIKU KWA KIINGILIO CHA 35,000/- UTAPEWA DERA SARE YA KUFUNDIWA LAZIMA UKUMBINI UJE UMEIVAA, UTAKULA NA KUNYWA...TICKETS ZIMEBAKI CHACHE KWA KULIPIA PIGA KWA ROSEMARY MIZIZI 0717 019320, UPEWE LAKO HATUTAPOKEA MALIPO YA SIKU ZA MWISHO....
KWANZIA MADERA 3 UTALETEWA ULIPO...
0 comments:
Post a Comment