Thursday, May 19, 2016

Tuongeemahusiano - Mahusiano na Majina Yake

Wednesday, May 4, 2016

TuongeemahusianoMUNGU BABA Anaposema anachukia kuachana anamaanisha nini?

Tuesday, May 3, 2016

Tuongeemahusiano - Baby Mama Drama

Thursday, April 28, 2016

Tuongeemahusiano - Visa Vya Mume wa Ndoa

Monday, April 18, 2016

Tuongeemahusiano

Vikwazo katika ndoa, nilitembelewa na rafiki yangu ofisini tukawa tunaongelea vikwazo vya ndoa moja ya vipindi vyangu youtube, je wewe una vikwazo vinavyokufanya usioe ama usiolewe?? ni Vipi???

Monday, April 11, 2016

INSTAGRAM...

Wapendwa najua nimekua kimya sana ni kwasababu sasa napost sana Instagram, kwa wewe ambae una acc unaweza ukanifollow @tuongeemahusiano  na huko utafurahia post nyingi sana za mahusiano kama ulivyokua unafurahia hapa, lakini pia hapa utafurahia sana za kwanjia ya video ambazo nitakua nazipost mara kwa mara.

Ahsanteni

TuongeemahusianoBWANA YESU Asifiwe, wapendwa nawakaribisha katika youtube channel yetuwww.youtube.com/rosemarymizizi mpate kujifunza mengi ya kuhusu Imani na Mahusiano, kila wiki tunaweka kipindi kipya ili upate kujifunza zaidi ila pia tutawawekea hapa link ya kipindi kipya tutachokua tunaweka kwa urahisi kwako....Karibuni sana