jamani yani kwakweli hii mada hata mimi imenishangaza ila nawaachia nyie mnaonipa raha mie hivi inakuwaje mke wa mtu anadai talaka kwa mumewe na kumfanyiai kila vitimbwi ili aachike kisa kamuona mume wa fulani kamtamani anataka amuoe mke wa pili, jamani yani wanawake saa zingine tunapenda kweli kujiaibisha sasa wewe ulikubali vipi kuolewa na huyo mumeo kama unataka mume wa mtu mwengine, ama ndio vidudu vinakunyevua nyevua?
hehehehehehehehe.....
eeeeh makubwa, kuna wanawake wanayaweza jama, mhh am speechless kwa kweli.
ReplyDeletetumtum
wala haihusu maana huyo anakuwa malaya wewe kweli unamuacha mume wako unaenda kuolewa tena kwa nini wanaume wote wanfanana wanawake tulinde utu wetu
ReplyDeleteWatu siku hizi wanapenda kurahisisha mambo. Ndoa inabidi iheshimiwe vinginevyo wakati mwingine tunalalamika kuwa mambo hayaendi sawa wakati tunamkosea Mungu wenyewe, Ukimpata Yesu ukaokoka atabadilisha maisha yako na mawazo yako pia.
ReplyDelete