Tuesday, July 13, 2010

MAPENZI SULUHISHO KUU KATIKA NYUMBA......



mapenzi ni kiungo muhimu katika ndoa, mapenzi huunganisha wawili kuwa mmoja, lakini je ni kweli mapenzi ndio suluhisho katika ndoa kama wanandoa ama wapenzi wamegombana?
maana nimesikia mengi kwamba watu wanasema labda"mpenzi wangu leo nimemuudhi kweli lakini akirudi nyumbani nitampa raha mpaka anisamehe"
ni kweli wewe baba ama mama ukipewa penzi hata kama mwenzi wako amekuudhi kupita kiasi utasahau yote na kuanza upya?

2 comments:

  1. ndio, kwanza inawezekanaje kufanya mapnzi mkiwa na hasira?? harafu inafuatana jinsi mnavyopeana mambo. kama ni kiukweli basi ni suruhisho. tendo la ndoa ni muhimu sana kwa utendaji wa wanandoa na ni kiungo muhimu endapo litafanywa kwa ubinifu na utamu wa kutosha

    ReplyDelete
  2. Mapenzi sio dawa ya maudhi hata kidogo, sana sana ukiwa umekasirika mapenzi bila kuelezana ukweli na kuyaweka sawa ni kuongeza chuki.

    Baada ya maudhi ongeeni kwanza mapenzi yafuate baadaye.

    ReplyDelete