Tuesday, July 13, 2010

UKABILA......

kuna jambo moja ambalo linamtatiza sana kijana mmoja ambaye ameoa msichana wa kihaya na wengi humwambia kisa yeye sio mhaya basi huyo dada ipo siku tu atatafuta mhaya mwenzake ampe raha, kwamba hilo kabila maranyingi huwa na wapenzi wa kabila lao kwa pembeni kama hawajaolewa na mhaya mwenzao...
hii ni kweli? kama kuna anayefahamu kuhusu hili swala hebu tumsaidie huyu kaka maana ana wasiwasi sana....

2 comments:

  1. mimi ni mhaya pia nahamini sio kweli na wakisemacho,ndoa za siku hizi ni balaa tupu amna cha kabila wala nini,meaning ya ndoa haipo tena kwenye kizazi hiki.

    ReplyDelete
  2. mimi ni mhaya na sijui, siwezi lisemea hili sina uhakika kwani mimi mke wa mtu sijawahi, so i dont know, fanya utafiti labda

    ReplyDelete