Tuesday, June 4, 2013

Mwanamke na Nyumba group on Facebook..

Jamani wanawake nawakaribisha kujoin group yetu ya mwanamke na nyumba kwenye facebook humo tunaongea kila kitu kwa uwazi kama wewe unayaogopa maneno makali usiingie, na kama wewe ni under 18 pia usiingie..

Jamani humo ni kwa watu wazima vigezo na masharti vinazingatiwa.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment