MATATIZO MENGI YANAYOTUKUTA KWENYE NDOA LEO NI KWASABABU KIPINDI CHA UCHUMBA NA UGIRLFRIEND TULIKUWA TUNAFICHA MAMBO YETU AMA ULIKUWA UNAONA KITU FULANI KWA MPENZI WAKO LAKINI HUKUTAKA KULIONGELEA, AU KUMWAMBIA HUKIPENDI UKIOGOPA UTAACHWA SOLEMBA
UNAMUONA KABISA HUYU BOYFRIEND WANGU NI MLEVI YANI YEYE WEEKEND ANAKESHA BAR BADALA UMUELEZE KAMA UNANIPENDA UPUNGUZE HIZO TRIP ZAKO ZA BAR MAANA SIZIPENDI BADALA YAKE NA WEWE UNAANZA KULEWA NA KWENDA NAYE BAR KILA WEEK END UNATEGEMEA NINI AKIKUOA NA USHAZAA UNALEA HIZO WEEKEND ATAMALIZA NDANI NA WEWE NA MTOTO???? NDIO UNAANZA KULALAMIKA NDOA CHUNGU MUME ANAKESHA TU BAR MUDA WOTE
UNAONA KABISA BOYFRIEND WANGU MIMI SIO WA KUONYESHA AFFECTION MUDA MWINGI AMA HAKUONYESHI KABISA NA WEWE UNGEPENDA UONYESHWE JAPO MARA MBILI KWA WIKI BADALA UMWAMBIE NA UMUELEWESHE JINSI INAVYOKUFANYA USIKIE WEWE UMEKAZANA KUMUONYESHA TU YEYE AFFECTION HUKU MOYO WAKO UNAUMIA NA BAADAE UNAJIKUTA UNAKUWA MTUMWA WA MAPENZI, YOTE KISA USIONEKANE MCHARUKO
ILA JAMANI TUKUBALIANE KUNA VITU NA VITU VYA KUA WAZI KABLA HUJAOLEWA HATA BAADA YA KUOLEWA
KUNA DADA MMOJA YEYE SASA AMEOLEWA KIPINDI WAKATI WALIKUA WACHUMBA AKAWA ANAMUHADITHIA MPENZI WAKE MAMBO MENGI SANA KUHUSU YEYE NA FAMILIA YAO, MCHUMBA AMBAYE KWA SASA NDIO MUMEWE
AKAWA ANAMUHADITHIA JINSI MAMA YAKE MDOGO ANAVYOPENDA KWENDA KWA WAGANGA NA HUWA ANAMUOMBA YEYE AMSINDIKIZE BASI YULE BWANA YEYE ALIKUA TU ANASIKILIZA NA KUCHEKA YANAISHA MAISHA YANAENDELEA
SASA SHOGA ALIPOOLEWA BAADA YA MIAKA MIWILI MWANAUME AKAWA KABADILIKA SANA KWENYE NDOA ANACHELEWA KURUDI NA AKIRUDI MKEWE AKAWA HAPENDI ILE TABIA WANAGOMBANA SANA
NA WANAUME WASIOJITAMBUA HUWA WAKIGOMBANA NA WAKE ZAO WANAWAKOMOA YANI KAMA UMEGOMBANA NA MUMEO BASI NDIO ATACHELEWA KURUDI AKIZANI ANAKUKOMOA BWANA YULE NAYE AKAWA HIVYOHIVYO ASIJUE KAMKUTA MWANAMKE MWENYEWE KAJAA HANA PAPARA BABU RUDI HATA SAA KUMI ZA USIKU HAMUONGELESHI WALA KUMUULIZA NDIO KWANZA ANAMTENGEA MAJI NA CHAKULA
HANA HABARI BASI YULE MUMEWE AKAWA HALI CHAKULA WALA HAOGI MAJI ANAYOTENGEWA NA MKEWE YULE DADA ANAUMIA LAKINI HANA CHA KUFANYA BASI SIKU MOJA AKAMUULIZA MUMEWE KWANINI HUTAKI KUHUDUMIWA NA MIMI KAMA UNITAKI NIAMBIE TU
MUMEWE AKAMJIBU ILI UNILOGE KAMA ULIVYOKUA UNAMPELEKA MAMA YAKO MDOGO KWENDA KUMLOGA MUMEWE NA NIMEKWAMBIA SILOGEKI WEWE MWANAMKE
WAKAISHI HIVYO KWA KIPINDI KIREFU SANA MPAKA WALIPOAMUA KUONGEA MATATIZO YAO NA KUYAMALIZA
LAKINI BADO MKEWE ANASEMA MUMEWE WAKIGOMBANA ANAMCHAPIA HIYO FIMBO AMBAYO YEYE ALIKUA ANAJUA ANAMUHADITHIA MPENZI WAKE KAMA STORY BILA KUJUA NDIO INGEMCHAPIA SIKU ZOTE ZA NDOA YAKE
WAPENDWA TUSIISHI TU MAISHA YA KUPEKESHWA PALE UNAPOHITAJI KUONGELEA JAMBO KWA MPENZI WAKO LIONGEE, KAMA HUPENDEZWI NA KITU ANACHOFANYA MWAMBIE ILI UISHI KWA AMANI NA UENJOY MAPENZI YENU.
***END****
Friday, June 20, 2014
Ukweli na uwazi kabla ya ndoa...
12:50 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment