ITAZAME DUNIA KWA JICHO LA 3 UTABAINI HAYA.
1.maisha
yamekuwa mafupi.
2.usaliti umekuwa mwingi hasa wa mapenzi na maisha.
3.pesa ndio kila kitu katika maisha haya usipokuwa na pesa hupati kitu
chochote.
4.mapenzi yamekuwa kama fasheni ni kutongoza tu hovyo na
mapenzi yenyewe hayadumu.
5. uongo ndio silaha kwa walio wengi.
6.upendo
wa dhati umekufa imebaki tamaa za kimwili.
7.mawazo yetu yapo kwenye
pesa.
8.ibada kwa mungu tumefanya mazoea sio toka moyoni.
9.kigezo cha
uzuri kimekuwa shepu na sura sio tabia.
10.vitu vingi ni vinzuri machoni
ila sio imara.
11.watu wengi hawapendi watu wafanikiwe.
12.ndugu na
ndugu wamekuwa maadui wakubwa.
13.matajiri kuzidi kuwabana masikini .
CHA MSINGI TUMRUDIE MUNGU WETU KILA MTU KWA DINI YAKE .
No comments:
Post a Comment