Tuesday, January 29, 2013

ITAZAME DUNIA KWA JICHO LA 3 UTABAINI HAYA.

1.maisha yamekuwa mafupi. 
2.usaliti umekuwa mwingi hasa wa mapenzi na maisha. 
3.pesa ndio kila kitu katika maisha haya usipokuwa na pesa hupati kitu chochote. 
4.mapenzi yamekuwa kama fasheni ni kutongoza tu hovyo na mapenzi yenyewe hayadumu. 
5. uongo ndio silaha kwa walio wengi. 
6.upendo wa dhati umekufa imebaki tamaa za kimwili. 
7.mawazo yetu yapo kwenye pesa. 
8.ibada kwa mungu tumefanya mazoea sio toka moyoni. 
9.kigezo cha uzuri kimekuwa shepu na sura sio tabia. 
10.vitu vingi ni vinzuri machoni ila sio imara. 
11.watu wengi hawapendi watu wafanikiwe. 
12.ndugu na ndugu wamekuwa maadui wakubwa. 
13.matajiri kuzidi kuwabana masikini . 
 CHA MSINGI TUMRUDIE MUNGU WETU KILA MTU KWA DINI YAKE .

0 comments:

Post a Comment