Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio
lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye sehemu zake za siri na
kisha kumtaka mumewe azamie kuziramba sehemu zake za siri kabla
hawajafanya tendo la ndoa.
Mume wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa mji wa Sao Jose do Rio
Preto nchini Brazili aliamua kumfikisha mahakamani mkewe baada ya
kunusurika jaribio la kuuliwa kwa sumu iliyowekwa kwenye sehemu za siri
za mkewe.
Taarifa zilisema kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alipakaza sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumhadaa mumewe wafanye mapenzi.
Mwanamke huyo ili kukamilisha azma yake ya kumuua mumewe alimtaka mumewe azirambe rambe sehemu zake za siri kabla hawajaanza tendo la ndoa.
Lakini mumewe akiwa kwenye jaribio la kukamilisha ombi hilo la mkewe alishtuka kusikia harufu ya ajabu ikitokea kwenye sehemu za siri za mkewe.
Alikatisha zoezi hilo na kumchukua mkewe na kumpeleka hospitali ambapo madaktari walimfanyia vipimo na kugundua kuwa mkewe alijipakaza vitu vyenye sumu kali kwenye sehemu zake za siri.
Mume wa mwanamke huyo amemfungulia kesi mkewe mahakamani kufuatia jaribio lake hilo la kumuua
No comments:
Post a Comment