najuwa kuna wengine mtakuwa mnajiuliza kwa nini siku nyengine na weka post kila mara na siku nyengine nachelewa kutuma, nataka niwafahamishe ya kwamba blog hii sio mchezo wa kuigiza ama kuandika tu story ambazo hazipo duniani bali zinatungwa, hapana kila ninachoandika hapa nimaisha ya kila siku ambayo watu hupitia watu hawa huwa ninao wajua ama wengine kunitumia visa vyao through facebook ndio maana naziweka humu ili waweze kupata ushauri kutoka kwenu na mara nyingi sana ushauri wenu umewasaidia watu wengi tu...
kwahiyo ukiona nimechelewa juwa bado nasikiliza ya kuandika hapa, this life is real watu wanapitia hivi vitu, natumaini mtanielewa na kuwa bado nami.... na ukiwa na tatizo ama hoja na ukataka pia iwe humu nitumie mail through facebook (Rosemary Mizizi) nitaiweka humu na watu kukupa ushauri...
No comments:
Post a Comment