Monday, October 18, 2010

UNAWEZA KUMSAIDIA HUYU?

kuna mtu amenitumia mada ya kuhusu kupika ugali anataka mumfahamishe jinsi ya kupika ugali labda yeye hajuai ama anajua lakini wake huwa hauivi.........
kwasababu hakuandika ni ugali gani basi mimi nimeamini ni wa kula maana angeniambia wa chumbani ningejuwa la kumsaidia maana hiyo ndio fani yangu na ndio kitu nilichobarikiwa kufanya, sasa ndugu yangu kuwa tu muwazi tukueleze maana usione aibu kufundishwa na watu ukabaki kuharibu mambo wenzio wakakucheka na kama ugali wa chumbani pata ushauri kutoka kwa wamama wenye ndoa maana wameusonga ukaiva baba akashiba akaamua kuoa.......
kama ulizoea kuupika kwa dakika chache basi kijana kaumwa tumbo la kuendesha kaona haufai asije kudheefeka kiafya akahamia hoteli inayojuwa kupika ugali kwa muda mrefu ukaiva na wengine wanakwambia raha ya ugali unukie kuungua ulikuwa unajua hilo? basi ndio ufahamu...
ama ulikuwa unajuwa ugali ni wa sembe tu, sasa leo nakwambia kuna wasembe, muhogo hata ulezi je unajuwa mlaji wako anapendelea nini??????? usije kuchanganya ugali na uji.......utabaki kuchekwa na kunyooshewa vidole kwamba si chochote si lolote..

1 comment:

  1. uwiiiiiiiiii somo hatari hili, kazi kweli kweli, mmmhh je ukiwa na mabuja cjui inakuwaje??
    tum tum

    ReplyDelete