Friday, July 9, 2010

BATA.....

bata ni neno ambalo limepata umaarufu sana hapa jijini na watu wengi sana wamekuwa wakijiuliza bata humaanisha nini nikapata kusikia kutoka kwa waimbaji wa nyimbo ya bata wakisema kwamba wao bata waliimba wakimaanisha mwanamke wakitoa sifa za mwanamke kwa undani zaidi, kama bata alivyopendeza na mwenye maringo ndio wanawake wengi walivyo lakini pia ukitaka kumpika bata lazima umpike kwa utaalamu ili usile shombo na ndio mwanamke alivyo ukitaka kumpa raha lazima utumie utaalam ili upate faidi mengi...
kwa aliyeniuliza hili swali nadhani utakuwa umeelewa, ila kwa yeyote mwenye kujuwa zaidi ya hayo sio mbaya ukituambia nasi tupate juwa....

2 comments:

  1. uuwii,mimi sijui khs bata lakini mambo hayo ni kweli yanahitaji maandalizi kibao, ukimaliza mwanamke anakuheshimu milele. kuna staili lukuki kama ya kure kwetu lakini pia kumfikisha mwanamama orgasm ni ufahali mkuubwa unaupata na ni rahisi tu wengi hawajui

    ReplyDelete
  2. bata au ALbata ina maanisha mwanamke anayetoa tigo

    ReplyDelete