Monday, July 9, 2012

Hongera Prof & Mrs Satta kwa kutimiza miaka 20 ya ndoa..

 Padre hapa alikuwa akiongoza sala kuwaombea maharusi wetu wa siku hiyo.....(sherehe ilifanyika nyumbani kwao Kunduchi)
 My mama akifwatilia kwa umakini mahubiri ya padri..


 Cousin yangu linda Maliti pia alikuwepo...
 Smiles...hapa nadhani nilishaanza kulewa....Jamani

 Wale wa mduara..haya sasa

 Wapi mama Mizizi...Chezea toto la KichaggaMama yangu alifurahi sana mdogo wake kutimiza miaka 20 na mumewe...
Prof Satta enzi hizo alivyokutana na mama yangu mdogo...mmhh

Prof Satta na mkewe wakikata keki yao ya miaka 20 ya ndoa, watoto wao Andy na Maria akiangalia
Upande wa kilia ni watoto wao Andy na Maria Satta...

Baba akimlisha Mama keki ya kumshukuru kumvumilia miaka 20
Mama naye akimpa Baba na kumuahidi ataendelea kuwa naye mpaka kifo kiwatenganishe..
Na watu wote wakakubaliana nao kwa kugonga cheers...


Reactions:

5 comments:

 1. mpnz ndo diet au kulea coz umepungua sana? hongera kwa maharusi!

  ReplyDelete
 2. shoga diet tips pls, umependeza umekua sweet 16 maana ake. wera weraaaa uzee hapa hatuutaki. congz gal!!

  ReplyDelete
 3. Shoga diet wapi???? nakula tu kidogo nikijisikia nimeshiba basi naacha sijilazimishi kumaliza chakula,halafu soda sinywi sana nikijisikia kunywa kinywaji nakunywa sana juice na maji ila pombe nikijisikia nakunywa ila nahakikisha nimekula vizuri mwishi saa kumi na mbili ili nikinywa sili tena jioni ni kulala moja kwa moja.. uzee tupa huko kwenye dustbin hauna nafasi hapa.

  ReplyDelete
 4. asante shoga angu, na mie ntalifanyia kazi hilo, sio siri umependeza, inaelekea umeweza kumaintain, yaani hiyo ndo inatakiwa, utasema sio mama wa wawili. tupe somo la umbo, mwenzangu nalo linahusu kwenye mvuto................ tumwagie somo!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tumtum ahsante, shoga hilo laumbo laja..nalitoa leo kaa kitako...

   Mwaaaaaaahhhhhhh

   Delete